BAVICHA wafumbia macho wizi wa billioni 7 ndani ya CHADEMA

BAVICHA wafumbia macho wizi wa billioni 7 ndani ya CHADEMA

1.png

Wapigaji wa kimya kimya kwa kupongezana!
 
Ila majizi ya nchi kiama chao bado hakijafika. Yaani CHADEMA wamekula hela ya ruzuku wala sio shida sana ila nyinyi mliokula hela za kununulia dawa na kufanya maendeleo ya nchi inabidi mtafutie msalaba wa kusulubiwa.
Hawa Lumumba wasilete longolongo ... Chadema siyo taasisi ya serikali. Wamepata mgao wao, ushauri yao watakavyozitumia. Sheria za manunuzi ya serikali haiwahusu Chadema. Wao watajuana na wanachama wao. Same to CCM .

Tunachohoji ni 1.5 .... wasitutoe kwenye mstari .!!
 
Tukishajua trilioni 1.5 ilipo ni rahisi kujua billion 7 iko wapi maana mkubwa kala nyingi so hana moral outhority ya kuuliza hiyo bi 7 ilipo laiti kwake kusingekua na loss ya 1.5trl uuuuwiiii cpati c ajabu angeagiza chadema wafutwe dunia..utasikia mi nahangaika wao wanaiba nawangalia tu hafu nacheka ehiiiiiiiiiiiiii

Mkubwa haulizi, wanao uliza ni sisi wananchi
 
Wadau amani iwe nanyi,

Ni jambo la kusikitisha sana vijana wa chama mbadala wa chama tawala kufumbia macho wizi ndani ya chama chao.

Wananchi walitarajia kuwaona vijana wa CHADEMA wakiwa wamechachamaa kuwataka viongozi wao wajiuzulu kupisha uchunguzi wa wizi wa kununua helkopta hewa badala yake sasa wanawalinda na kuwakingia kifua hao wezi.

Kama wanalindana hivi kabla ya kushika dola, je wakiingia madarakani itakuwaje? BAVICHA amkeni kwa kulinda wezi mnaharibu CHADEMA na hamna atakayewaamini tena.
1.5 TRILLION ZIKO WAPI?
 
Huyu mleta mada katoroka toka Mirembe Hospital hata hajui alichoandika. Hakuna haja ya kujibizana naye ni 'Mental Case'.
 
Huwezi kumsikia mtu makini akihoji matumizi ya bilioni 12 za ruzuku ya ccm ambazo hazina vielelezo,mtu makini anaelewa kuwa ruzuku ya chama kwa mujibu wa sheria ya vyama vya siasa #5 ya 1992 ni kwa ajili ya Political Administration,ujenzi wa chama,program za chama,harakati za chama kamamikutano,makongamano na mengineyo.

Ruzuku ya chama si kwa ajili ya utekelezaji wa miradi ya Maendeleo ya Taifa letu,ruzuku ya chama haijadiliwi na kupitishwa bungeni,ni kwa mujibu wa kanuni,hutokana na asilimia za matokeo ya uchaguzi mkuu.

Hoja yangu haitetei ubadhirifu ndani ya vyama,ubadhirifu vyamani ushughulikiwe kwa mujibu wa sheria,lakini usifanywe kama ngao ya kukinga matumizi mabaya ya fedha za umma zilizopotea serikalini wakati fedha hizo ndizo zinazopaswa kutumika katika utekelezaji wa miladi ya Maendeleo.

Tukihoji mbona ripoti ya CAG inaupotevu mkubwa wa fedha za umma,Jibu lao hata chadema wamepata hati chafu. Wanasahauruzuku za vyama si za kununulia dawa, kutuletea maji safi wala kujenga miundo mbinu, Lakini hizo bilioni 1500 zilizo yeyuka ndio ilikuwa kaziyake.Bilioni 1500 zingewezakutumika katika miladi ya maendeleo ambayo ingesaidia kuinua hali za watanzania,kupoteakwake bila maelezo ya kina kunatulazimishatuhoji zilipoenda.Tuendelee kuhojiana!
Naona unataka kuzubaisha 1.5 t ili mgaiwe buku zenu 7!!!
 
7/1500=0.0047
0.0047 convert into%= 0%

Tuanze na wakutembea vifua mbele...wapinga ufisadi. 1.5T zko wapi
Kwa hiyo hizo billioni saba ni msosi halal kwa Mbowe? Ha ha ha, nyie makarai akili zenu sijui zikoje.
 
Back
Top Bottom