Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Afadhali bilioni 7 kuliko bilioni 1500.Wadau amani iwe nanyi,
Ni jambo la kusikitisha sana vijana wa chama mbadala wa chama tawala kufumbia macho wizi ndani ya chama chao.
Wananchi walitarajia kuwaona vijana wa CHADEMA wakiwa wamechachamaa kuwataka viongozi wao wajiuzulu kupisha uchunguzi wa wizi wa kununua helkopta hewa badala yake sasa wanawalinda na kuwakingia kifua hao wezi.
Kama wanalindana hivi kabla ya kushika dola, je wakiingia madarakani itakuwaje? BAVICHA amkeni kwa kulinda wezi mnaharibu CHADEMA na hamna atakayewaamini tena.
Bora hata zero ni namba, wewe ni empty kabisaNdiyo maana unaitwa Mr zero
Mkuu bora hata empty ,angalau utaikuta hata hewa.Bora hata zero ni namba, wewe ni empty kabisa
Vipi 1.5 Tr.Zimefchwa wapi.View attachment 749435
Rudisha fedha ulizoficha Dubai!
Au tumuite vacuum?Mkuu bora hata empty ,angalau utaikuta hata hewa.
Umemaliza mkuu.Au tumuite vacuum?
Bichwani mwake mna ombwe, hakuna ubongo. Ukiweka chai humo haipoi!Umemaliza mkuu.
Siyo naitwa najiita ............!!Ndiyo maana unaitwa Mr zero
Wadau amani iwe nanyi,
Ni jambo la kusikitisha sana vijana wa chama mbadala wa chama tawala kufumbia macho wizi ndani ya chama chao.
Wananchi walitarajia kuwaona vijana wa CHADEMA wakiwa wamechachamaa kuwataka viongozi wao wajiuzulu kupisha uchunguzi wa wizi wa kununua helkopta hewa badala yake sasa wanawalinda na kuwakingia kifua hao wezi.
Kama wanalindana hivi kabla ya kushika dola, je wakiingia madarakani itakuwaje? BAVICHA amkeni kwa kulinda wezi mnaharibu CHADEMA na hamna atakayewaamini tena.
Wataongea vipi wakati midomo yao imefungwa na mwenyekiti , nyumbu ni nyumbu tu
#DG
Acha uzushi wako chadema hakuna wizi kama ni wizi upo CCM mmegawana Trilion 1.5 kimya kimya hata kinana alipiga bilion 3 akasepa kimya kimya na sasa upo ufisadi mkubwa kula pesa za ruzuku ya CCM kisaniii kwa kisingizio cha kuzitumia kuwanunua madiwani, wabunge na kudhoofisha chadema, wezi unao huko huko CCM mnapiga pesa za umma kwa njia haramu mmekula 10% ununuzi wa ndege, ujenzi wa Chato Airport, ujenzi wa reli na madili kibao huko CCM ndipo makao makuu ya weziWadau amani iwe nanyi,
Ni jambo la kusikitisha sana vijana wa chama mbadala wa chama tawala kufumbia macho wizi ndani ya chama chao.
Wananchi walitarajia kuwaona vijana wa CHADEMA wakiwa wamechachamaa kuwataka viongozi wao wajiuzulu kupisha uchunguzi wa wizi wa kununua helkopta hewa badala yake sasa wanawalinda na kuwakingia kifua hao wezi.
Kama wanalindana hivi kabla ya kushika dola, je wakiingia madarakani itakuwaje? BAVICHA amkeni kwa kulinda wezi mnaharibu CHADEMA na hamna atakayewaamini tena.
Bavicha wamekuwa Takukuru au Polisi siku hizi? Hakika mazwazwa wa Lumumba mumechanganyikiwa vibaya na vile mawakala wenu wameshtukiwa ndani ya Chadema mnaweweseka kama mnataka kutaga mayai vile, na bado tuna wanyoosha kimtindo na hamtaamini kitakachotokea kabla ya 2020.
CCM mmechukua hatua gani hapa kwa huu ufisadi??View attachment 748702