minyoo
JF-Expert Member
- May 25, 2013
- 22,405
- 21,100
Nyumbu ni CCM zimepigwa trilion 1.5 hawakuthubutu kusema kiti.Wataongea vipi wakati midomo yao imefungwa na mwenyekiti , nyumbu ni nyumbu tu
#DG
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyumbu ni CCM zimepigwa trilion 1.5 hawakuthubutu kusema kiti.Wataongea vipi wakati midomo yao imefungwa na mwenyekiti , nyumbu ni nyumbu tu
#DG
Vipi 1.5 Tr.Zimefchwa wapi.
Matumizi ya ruzuku ya CCM kwa kiasi kikubwa hutumika kudidimiza demokrasia na humo ndipo akina polepole hupata fursa za kula 10% kwa kila kazi ya kudhoofisha chadema na kuua upinzani kwa ujumla, ruzuku ya upinzani kwa kiasi kikubwa kwa awamu hii hutumika kujihami dhidi ya hujuma za CCM ikiwemo tabia mbaya ya CCM kuwabambikia kesi na unyama mwingineo mwingi kama ule wa kuwatuma akina Heri kisanduku kwenda Dodoma kumpiga Risasi Tumdu lisu, kwa sasa upinzani unafanya siasa ktk mazingira magumu sana.Huwezi kumsikia mtu makini akihoji matumizi ya bilioni 12 za ruzuku ya ccm ambazo hazina vielelezo,mtu makini anaelewa kuwa ruzuku ya chama kwa mujibu wa sheria ya vyama vya siasa #5 ya 1992 ni kwa ajili ya Political Administration,ujenzi wa chama,program za chama,harakati za chama kamamikutano,makongamano na mengineyo.
Ruzuku ya chama si kwa ajili ya utekelezaji wa miradi ya Maendeleo ya Taifa letu,ruzuku ya chama haijadiliwi na kupitishwa bungeni,ni kwa mujibu wa kanuni,hutokana na asilimia za matokeo ya uchaguzi mkuu.
Hoja yangu haitetei ubadhirifu ndani ya vyama,ubadhirifu vyamani ushughulikiwe kwa mujibu wa sheria,lakini usifanywe kama ngao ya kukinga matumizi mabaya ya fedha za umma zilizopotea serikalini wakati fedha hizo ndizo zinazopaswa kutumika katika utekelezaji wa miladi ya Maendeleo.
Tukihoji mbona ripoti ya CAG inaupotevu mkubwa wa fedha za umma,Jibu lao hata chadema wamepata hati chafu. Wanasahauruzuku za vyama si za kununulia dawa, kutuletea maji safi wala kujenga miundo mbinu, Lakini hizo bilioni 1500 zilizo yeyuka ndio ilikuwa kaziyake.Bilioni 1500 zingewezakutumika katika miladi ya maendeleo ambayo ingesaidia kuinua hali za watanzania,kupoteakwake bila maelezo ya kina kunatulazimishatuhoji zilipoenda.Tuendelee kuhojiana!
Hizi ndiyo sababu za kuifanyia ufisadi ruzuku mnayopewa?Matumizi ya ruzuku ya CCM kwa kiasi kikubwa hutumika kudidimiza demokrasia na humo ndipo akina polepole hupata fursa za kula 10% kwa kila kazi ya kudhoofisha chadema na kuua upinzani kwa ujumla, ruzuku ya upinzani kwa kiasi kikubwa kwa awamu hii hutumika kujihami dhidi ya hujuma za CCM ikiwemo tabia mbaya ya CCM kuwabambikia kesi na unyama mwingineo mwingi kama ule wa kuwatuma akina Heri kisanduku kwenda Dodoma kumpiga Risasi Tumdu lisu, kwa sasa upinzani unafanya siasa ktk mazingira magumu sana.
Mzee wa Richmond I aliwaletea hzo pesa Na akawa mgombea wetu. Hapo ndo mlipoteza maboya.CCM mmechukua hatua gani hapa kwa huu ufisadi??View attachment 748702
Haha kweli kabisaMzee wa Richmond I aliwaletea hzo pesa Na akawa mgombea wetu. Hapo ndo mlipoteza maboya.
Kaeni kimya.
😂😂😂Unaelewa nini wewe vuvula sema unachokielewa zaidi ya kuliwa jicho huko Lumumba
Hii hadithi ya kufikirika ipo ukurasa gani kwenye ukaguzi wa hesabu za CHADEMA uliofanywa na CAG?Wadau amani iwe nanyi,
Ni jambo la kusikitisha sana vijana wa chama mbadala wa chama tawala kufumbia macho wizi ndani ya chama chao.
Wananchi walitarajia kuwaona vijana wa CHADEMA wakiwa wamechachamaa kuwataka viongozi wao wajiuzulu kupisha uchunguzi wa wizi wa kununua helkopta hewa badala yake sasa wanawalinda na kuwakingia kifua hao wezi.
Kama wanalindana hivi kabla ya kushika dola, je wakiingia madarakani itakuwaje? BAVICHA amkeni kwa kulinda wezi mnaharibu CHADEMA na hamna atakayewaamini tena.