BAVICHA wafumbia macho wizi wa billioni 7 ndani ya CHADEMA

Matumizi ya ruzuku ya CCM kwa kiasi kikubwa hutumika kudidimiza demokrasia na humo ndipo akina polepole hupata fursa za kula 10% kwa kila kazi ya kudhoofisha chadema na kuua upinzani kwa ujumla, ruzuku ya upinzani kwa kiasi kikubwa kwa awamu hii hutumika kujihami dhidi ya hujuma za CCM ikiwemo tabia mbaya ya CCM kuwabambikia kesi na unyama mwingineo mwingi kama ule wa kuwatuma akina Heri kisanduku kwenda Dodoma kumpiga Risasi Tumdu lisu, kwa sasa upinzani unafanya siasa ktk mazingira magumu sana.
 
Hizi ndiyo sababu za kuifanyia ufisadi ruzuku mnayopewa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Fedha za epa chadema mlipewa bill.50 baada ya Mzee rowasaa kuja chadema Na mkamsafisha.
 
Hii hadithi ya kufikirika ipo ukurasa gani kwenye ukaguzi wa hesabu za CHADEMA uliofanywa na CAG?
Mods vitu vingine vinaharibu taswira ya JF.
 
Rubbish, wizi na ufisadi mkubwa unaofanyika katika nchi hii hamwongelei badala yake mnakuja kuzusha utumbo humu. Bure kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…