milele amina
JF-Expert Member
- Aug 16, 2024
- 6,045
- 8,080
BAVICHA wamelipuka kwa shangwe kubwa baada ya Tundu Lissu ambaye ni Mgombea wa Uenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wakati akiingia kwenye ukumbi wa uchaguzi wa Mwenyekiti wa BAVICHA leo, ambapo vijana wa CHADEMA kutoka sehemu mbalimbali wamekutana kuamua viongozi watakaoongoza Baraza hilo kwa kipindi kijacho.
Pia, Soma:
- Uongozi mpya wa Bavicha kuchaguliwa leo
- CHADEMA pamechangamka! Mgombea wa BAVICHA Shija Shibeshi ajiondoa kwenye kinyang'anyiro kisa Tundu Lissu
Majitu ya ccm mbona mna ujinga mwingi hivi dawa ni huyo mume wenu mnyampaa ashke chama ujinga ujinga kuvuruga uchaguz huyu mwamba ndo dawa yenu jino kwa jinoBAVICHA baada ya kulipuka ukumbini, Lissu amewapa posho?
Kawaida ya Walwa mtu huwa anasema ya moyoni.Kuna muda p unacoment ukiwa bwax
Wanafikiri CHADEMA ni CCM.Huu uhuni usemao uko kwenye chaguzi za kishenzi za ccm.
Mwambaakikuwa hatari sanaaaaaLowasa alikatwa....wangeachia wapigiwe kura za wazi.....ungeshangaa....
Usifananishe ccm na cdmKuna wana Chadema wa aina mbili, kuna watu ambao ni binadamu na wana ubongo wa kufanya maamuzi, na kuna wengine machoni ni kama watu ila wana akili ya nyumbu, hivyo hizi ndio zao, kulipuka kwa shangwe kumshangilia Lissu, ila siku ya siku, Lissu atashangaa na hata amini!. Hata Lowassa alishangiliwa hadi kuimbiwa tuna imani na Lowassa, ila baada ya kukatwa, hawakuonekana tena!.
Tena hata mimi kwenye kura za maoni Kawe, nilipotajwa tuu jina langu, Pasco Mayalla, ukumbi ulilipuka kwa kushangiliwa, njoo kwenye kura!.
P
Kuna wana Chadema wa aina mbili, kuna watu ambao ni binadamu na wana ubongo wa kufanya maamuzi, na kuna wengine machoni ni kama watu ila wana akili ya nyumbu, hivyo hizi ndio zao, kulipuka kwa shangwe kumshangilia Lissu, ila siku ya siku, Lissu atashangaa na hata amini!. Hata Lowassa alishangiliwa hadi kuimbiwa tuna imani na Lowassa, ila baada ya kukatwa, hawakuonekana tena!.
Tena hata mimi kwenye kura za maoni Kawe, nilipotajwa tuu jina langu, Pasco Mayalla, ukumbi ulilipuka kwa kushangiliwa, njoo kwenye kura!.
P
Kwamba Lissu wakimtaka atachomoa?CCM wanajua ila hawataki mtu wao azame ni kitendea kazi chao.
Mganga wake Mungu. Huyu huwa hana hayo mambo ya waganga. Kwa ile roho yake safi ndio Mungu huwa anamuinua sana.Kweli kabisa, mganga wa Lissu anaonekana kuwa na uwezo wa kipekee! 😄
Sio kwa mda huu.Not this time
Tena hata mimi kwenye kura za maoni Kawe, nilipotajwa tuu jina langu, Pasco Mayalla, ukumbi ulilipuka kwa kushangiliwa, njoo kwenye kura!.
P
No hawakuniibia,hao ndio wajumbe hao!,unavuna ulichokipanda!,mimi nilipanda zero nikavuna angalau moja!。Yote sawa, lakini ndo upate kura moja Pasco! Walikuibia mkuu. 😁
Wajumbe ni wajumbe tuu, tena afadhali wa CCM,ni wa mkono mtupu haulambwi,lakini wajumbe wa Chadema,machoni ndio kama watu,lakini mioyoni。。。!PUsifananishe ccm na cdm
Hapo kuna utofauti mkuu. Kumbuka Lowassa hakupewa nafasi ya kupigiwa kura. Unadhani wasingemkata kuna mtu angemshinda?Kuna wana Chadema wa aina mbili, kuna watu ambao ni binadamu na wana ubongo wa kufanya maamuzi, na kuna wengine machoni ni kama watu ila wana akili ya nyumbu, hivyo hizi ndio zao, kulipuka kwa shangwe kumshangilia Lissu, ila siku ya siku, Lissu atashangaa na hata amini!. Hata Lowassa alishangiliwa hadi kuimbiwa tuna imani na Lowassa, ila baada ya kukatwa, hawakuonekana tena!.
Tena hata mimi kwenye kura za maoni Kawe, nilipotajwa tuu jina langu, Pasco Mayalla, ukumbi ulilipuka kwa kushangiliwa, njoo kwenye kura!.
P
Dadangu mzuri, uko sahihi kuwa Lissu ni mshindi na ni hitaji la wakati, kipingamizi ni pesa nyeusi.Unaijua hela wewe? Lissu ni mshindi tayari, tatizo ni….
Box la kura (jeusi la kiafrica) ndio kimbembe.
Hebu rudia tena.Kuna wana Chadema wa aina mbili, kuna watu ambao ni binadamu na wana ubongo wa kufanya maamuzi, na kuna wengine machoni ni kama watu ila wana akili ya nyumbu, hivyo hizi ndio zao, kulipuka kwa shangwe kumshangilia Lissu, ila siku ya siku, Lissu atashangaa na hata amini!. Hata Lowassa alishangiliwa hadi kuimbiwa tuna imani na Lowassa, ila baada ya kukatwa, hawakuonekana tena!.
Tena hata mimi kwenye kura za maoni Kawe, nilipotajwa tuu jina langu, Pasco Mayalla, ukumbi ulilipuka kwa kushangiliwa, njoo kwenye kura!.
P
Nimekubali matokeo, Chadema zile akili nyumbu zimewatoka wakafanya uamuzi.Hebu rudia tena.