Pre GE2025 BAVICHA walipuka kwa shangwe Lissu akiingia Ukumbini. Kwa shangwe hili, Freeman Mbowe atatoboa kweli?

Pre GE2025 BAVICHA walipuka kwa shangwe Lissu akiingia Ukumbini. Kwa shangwe hili, Freeman Mbowe atatoboa kweli?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
labda assist ya kukiua chama hicho kwa mikono ya sultan
Na ndiyo mpango ulioko nyuma ya pazia,Sultan mwenyewe anaona Samia anamsaidia kumbe anamtumia kumnyooshea njia October. Konyagi zimemharibu sana Sultan.
 
Kuna wana Chadema wa aina mbili, kuna watu ambao ni binadamu na wana ubongo wa kufanya maamuzi, na kuna wengine machoni ni kama watu ila wana akili ya nyumbu, hivyo hizi ndio zao, kulipuka kwa shangwe kumshangilia Lissu, ila siku ya siku, Lissu atashangaa na hata amini!. Hata Lowassa alishangiliwa hadi kuimbiwa tuna imani na Lowassa, ila baada ya kukatwa, hawakuonekana tena!.
P
Kaka nakumbuka jinsi ulishangiliwa sanaaa kwenye kura za maoni jimbo la kawe🤣🤣🤣🤣🤣
 
BAVICHA wamelipuka kwa shangwe kubwa baada ya Tundu Lissu ambaye ni Mgombea wa Uenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wakati akiingia kwenye ukumbi wa uchaguzi wa Mwenyekiti wa BAVICHA leo, ambapo vijana wa CHADEMA kutoka sehemu mbalimbali wamekutana kuamua viongozi watakaoongoza Baraza hilo kwa kipindi kijacho.
Pia, Soma:

- Uongozi mpya wa Bavicha kuchaguliwa leo

- CHADEMA pamechangamka! Mgombea wa BAVICHA Shija Shibeshi ajiondoa kwenye kinyang'anyiro kisa Tund

BAVICHA wamelipuka kwa shangwe kubwa baada ya Tundu Lissu ambaye ni Mgombea wa Uenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wakati akiingia kwenye ukumbi wa uchaguzi wa Mwenyekiti wa BAVICHA leo, ambapo vijana wa CHADEMA kutoka sehemu mbalimbali wamekutana kuamua viongozi watakaoongoza Baraza hilo kwa kipindi kijacho.
Pia, Soma:

- Uongozi mpya wa Bavicha kuchaguliwa leo

- CHADEMA pamechangamka! Mgombea wa BAVICHA Shija Shibeshi ajiondoa kwenye kinyang'anyiro kisa Tundu Lissu
Eti niliota Lissu anagombea Urais alaf wagombea wakawa na midahalo ya live
 
Back
Top Bottom