Pre GE2025 BAVICHA walipuka kwa shangwe Lissu akiingia Ukumbini. Kwa shangwe hili, Freeman Mbowe atatoboa kweli?

Pre GE2025 BAVICHA walipuka kwa shangwe Lissu akiingia Ukumbini. Kwa shangwe hili, Freeman Mbowe atatoboa kweli?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Ni kweli, siasa zinaweza kuwa na sura mbili; shangwe za leo si lazima ziakisi matokeo ya mwisho. Mwisho wa siku, uamuzi upo mikononi mwa wapiga kura, na lolote linaweza kutokea.
however, hizi shangwe ni indicator tosha ya ushindi, hayo mengine ni prediction tu
 
Unafiki wa Siasa unapaswa utambue kuwa sio kila shangwe ni ya kushangilia. Nyingine ni ya kuzomea pia.

Lissu anakubalika mno lakini sio kushinda pesa. Mbowe kapoteza umaarufu lakini ana pesa ya kuhonga na hiyo ndio itamfanya ashinde.
wajumbe wale tu pesa zake ila kura kwa lissu, hela zisiwalevye wakaacha kufanya mabadliko ya siasa za chama chao
 
Ni kweli, hali ya siasa za sasa inaonyesha jinsi ambavyo rushwa imeathiri mchakato wa uchaguzi. Kama wajumbe wanashangilia pesa badala ya maono au sera za mgombea, basi kuna changamoto kubwa ya kiadilifu inayopaswa kushughulikiwa. Mkono wa Lissu unapaswa kuwa mrefu sio kwa pesa, bali kwa kuleta uadilifu na mabadiliko halisi ndani ya chama na taifa kwa ujumla.
kula kwa mbowe, kura kwa lissu
 
BAVICHA wamelipuka kwa shangwe kubwa baada ya Tundu Lissu ambaye ni Mgombea wa Uenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wakati akiingia kwenye ukumbi wa uchaguzi wa Mwenyekiti wa BAVICHA leo, ambapo vijana wa CHADEMA kutoka sehemu mbalimbali wamekutana kuamua viongozi watakaoongoza Baraza hilo kwa kipindi kijacho.
Pia, Soma:

- Uongozi mpya wa Bavicha kuchaguliwa leo

- CHADEMA pamechangamka! Mgombea wa BAVICHA Shija Shibeshi ajiondoa kwenye kinyang'anyiro kisa Tundu Lissu
Itakuwa ni aibu kama chadema watatumia mbinu za ccm kupata mshindi. Hiyo itakuwa suicidal ya chama. Maana watakuwa wamepoteza hoja na kusudi Lao la kuwa cha mbadala.
 
Back
Top Bottom