brownjosephati
JF-Expert Member
- Jun 7, 2024
- 549
- 674
BAVICHA wamelipuka kwa shangwe kubwa baada ya Tundu Lissu ambaye ni Mgombea wa Uenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wakati akiingia kwenye ukumbi wa uchaguzi wa Mwenyekiti wa BAVICHA leo, ambapo vijana wa CHADEMA kutoka sehemu mbalimbali wamekutana kuamua viongozi watakaoongoza Baraza hilo kwa kipindi kijacho.
Pia, Soma:
- Uongozi mpya wa Bavicha kuchaguliwa leo
- CHADEMA pamechangamka! Mgombea wa BAVICHA Shija Shibeshi ajiondoa kwenye kinyang'anyiro kisa Tundu Lissu
MAPOKEZI YA MBOWE NA BAVICHA LEO, MLIOMSIFIA LISU MKUJE