BAVICHA wanajipendekeza sana kwa Rais Samia pamoja na viashiria ambavyo mama anawaambia kuwa mind your own business

Uvccm ni mataahira
 
Unajichanganya unatofautisha Mbowe na CHADEMA! Kwa hiyo Pambalu ndo anaye taka kukutana na mama, akamwombe rejesho?!
 
Unampinga kwa Sabaya tu?!
 
Sabaya amendaliwa kwa kazi maalumu wewe huwezi kujua subiri Movie ichezwe utaijua CCM mm sasa hivi sina deni na mama yeye akitaka agombee mpk anafia Ikulu sawa tu kila la kheri
Kwa hiyo ulipokuwa unampinga, mpaka ukaanzisha mchakato wa kuchanga pesa, ukikuwa mjinga?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…