BAVICHA wanajipendekeza sana kwa Rais Samia pamoja na viashiria ambavyo mama anawaambia kuwa mind your own business

BAVICHA wanajipendekeza sana kwa Rais Samia pamoja na viashiria ambavyo mama anawaambia kuwa mind your own business

BAVICHA wamekuwa wapiga soga wapiga ramli waigizaji wapika majungu wametoka kwenye siasa ziwe za kujenga hoja au za kiunaharakati wamekuwa wapiga majungu ambao wanashindwa kutambua kwamba uimara wa Chama Chao hautokani na madhaifu ya CCM bali unatokana na Sera dhabiti zenye kuunganisha makundi yaliyoonewa lkn sasa wanamwandama yeyote aliye na Mapenzi na CCM

Kwa hali ambayo Chama hiki kimefikia kimeshakuwa kikundi cha watu vilaza sana walimshambulia Diamond wakashindwa kila agenda waaanzishayo wameshindwa poleni sana vijana wapiga Majungu hata CCM wakigombana lkn ndio wanaongoza nchi kwani kuna shida gani mama anaonyesha dalili zote kwamba msimfuate fuate lakini hamsikkii
Uvccm ni mataahira
 
nawahurumia vijana wa CHADEMA sana yaani wamepauka maisha yao ya kuunga unga wamenyonyolewa na Mbowe kila mara anapokosaa hela ya kumalizia apartments zake anakuja na swaga za michango mama naye amewachomolea kukutana naye wanabaki kulia lia tu ukimwangalia mtu kama Pambalu ana madeni tapeli na gqri yake wameishikilia kwa madeni ya uchaguzi
Unajichanganya unatofautisha Mbowe na CHADEMA! Kwa hiyo Pambalu ndo anaye taka kukutana na mama, akamwombe rejesho?!
 
Mama amekubali kujenga Reli, amekubali kujenga Meli, analeta maji kila pahala, anajenga stand na masoko, anajenga mradi wa Umeme mto Rufiji, amewateuwa akina Nassari Lijualikali, Msando, Kalist Lazaro kuwa wakuu wa wilaya mama mwenyewe Magufulists kwa nn nimpinge Magufulists mwenzangu Mama Samia mpaka 2030 atake asitake
Unampinga kwa Sabaya tu?!
 
Sabaya amendaliwa kwa kazi maalumu wewe huwezi kujua subiri Movie ichezwe utaijua CCM mm sasa hivi sina deni na mama yeye akitaka agombee mpk anafia Ikulu sawa tu kila la kheri
Kwa hiyo ulipokuwa unampinga, mpaka ukaanzisha mchakato wa kuchanga pesa, ukikuwa mjinga?
 
Back
Top Bottom