Pre GE2025 BAVICHA yaanza kuogopwa na watawala, Polisi watumika kuwakamata ili kuzuia wasihudhurie siku ya vijana duniani itakayofanyika Mbeya

Pre GE2025 BAVICHA yaanza kuogopwa na watawala, Polisi watumika kuwakamata ili kuzuia wasihudhurie siku ya vijana duniani itakayofanyika Mbeya

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Sasa ni dhahiri kwamba Uhai wa ccm uko mikononi mwa Jeshi la Polisi pekee, hii imedhihirika rasmi baada ya Jeshi hilo kuanza kuzuia Vijana wa Chadema kuhudhuria maadhimisho ya siku ya Vijana Duniani yanayofanyika Mbeya

Ifahamike kwamba maelfu ya vijana wa Kitanzania wanakusanyika Mbeya kwa ajili ya siku ya vijana ya kidunia.

View attachment 3066709View attachment 3066710View attachment 3066712

Pia soma=> Jeshi la Polisi lapiga marufuku mkutano wa BAVICHA siku ya vijana duniani
Imekuwa ni rahisi kutambua uhai wa ccm kwamba unamashaka mengi.
 
hii sio nzuri Enzi za ubabe zimeisha , vyombo vya ulinzi msikuze jambo hili hacheni vijana wakutane wabadishane mawazo ila pia hata wakiandamana serikali isikilije hoja zao na kuzitolea majibu ,simple.
 
Hatutaki UJiNGA WA 'kenya"*
 
Back
Top Bottom