Imekuwa ni rahisi kutambua uhai wa ccm kwamba unamashaka mengi.Sasa ni dhahiri kwamba Uhai wa ccm uko mikononi mwa Jeshi la Polisi pekee, hii imedhihirika rasmi baada ya Jeshi hilo kuanza kuzuia Vijana wa Chadema kuhudhuria maadhimisho ya siku ya Vijana Duniani yanayofanyika Mbeya
Ifahamike kwamba maelfu ya vijana wa Kitanzania wanakusanyika Mbeya kwa ajili ya siku ya vijana ya kidunia.
View attachment 3066709View attachment 3066710View attachment 3066712
Pia soma=> Jeshi la Polisi lapiga marufuku mkutano wa BAVICHA siku ya vijana duniani