BAVICHA yafika gereza la Mkuza Kibaha katika Muendelezo wa kuwafariji na kuwasalimia wafungwa wa kisiasa

Ni kweli, hamna, shetani hajawahi kumshinda Mungu. Na kana kumbe ni muuaji, ukimtoa utakumbana na wafiwa wenye hasira. Lini mnaenda Njombe? Na Tunduma? Nako shetani aliua mtu pia. Dunia nzima kesi ya mauuaji huwaga haina maana.
 
Kina Mbowe huwezi kuwaona wakipoteza muda huko.
 
Ni kweli Mungu wetu ni Mungu wa HAKI - tayari utawala wa Mwendazake uliingia dosari na ukakosa utukufu na ndiyo yakatokea haya tuyaonayo.

Poleni sana wahanga wa uchaguzi Mkuu wa October 2020, Mungu mwenyezi atawafuta machozi tena na tena ninyi na familia zetu.
 
May 29 , 2021
Shinyanga, Tanzania

CHADEMA YAWATEMBELEA FRANCIS KISHABI NA WENZAKE GEREZANI


Source : DarMpya TV
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…