Ni kweli, hamna, shetani hajawahi kumshinda Mungu. Na kana kumbe ni muuaji, ukimtoa utakumbana na wafiwa wenye hasira. Lini mnaenda Njombe? Na Tunduma? Nako shetani aliua mtu pia. Dunia nzima kesi ya mauuaji huwaga haina maana.Ikumbukwe kwamba ndani ya Gereza hilo wamewekwa wanachama lukuki wa Chadema , akiwemo aliyekuwa Mgombea udiwani wa kata ya Kikongo ndugu Haji Omari na wenzake 7 , ambapo wote hawa wamepewa kesi isiyo na dhamana ya mauaji .
Wako ndani kwa zaidi ya miezi sita kutokana na kesi ya uzushi ya mauaji , Bali tunaamini kwamba hakuna mahali popote katika dunia hii ambapo Shetani aliwahi kumshinda Mungu , kila ubaya utalipwa .
View attachment 1787285
Mungu ibariki Bavicha .