BAVICHA yaingia nchini Zambia kuwajulia hali wafanyabiashara waliokimbia unyanyasaji Tanzania

Bavicha wa kimataifa
 
we mama unaifanya siasa kama cult za kibwetere....
 

..inaitwa " brain drain, " yaani nchi masikini kupoteza wataalamu iliosomesha wanaokwenda kufanya kazi kwenye mataifa tajiri.

..wanaokwenda kubeba maboksi wanaumizwa sana ktk nchi za kigeni. Nadhani umesikia kadhia wanazokutana nazo watumishi wa kigeni ktk nchi kama Qatar, UAE, USA, n.k

..wananchi kukimbia nchi yao ni dalili kwamba mambo hayako vizuri ktk nchi husika. Watz tusifurahie tunapoona vijana wetu wanaondoka hapa nchini kwasababu ya kukosa ajira, au fursa za kujiajiri na kuwekeza.
 
Waje hadi Lusaka Ndola Chingola Mpulungu Kabwe Kasumbalesa Chililabombwe tuko wengi wasishie Nakonde tumekimbia mikodi yenu
 
Taasisi bora ya kulea vijana kuja kuwa wanasiasa wakubwa na makini!!
 
Hujui kitu, ficha ujinga wako. Remittances ni chanzo cha muhimu cha mapato ya fedha za kigeni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…