Mwenyekiti wa BAVICHA nimesoma naye IHUNGO HIGH SCHOOL yeye alikuwa mchepuo wa HGE baadaye alienda UDSM ana Bachelor of Education with arts na kwasasa anasoma MASTER'S DEGREE IN PROJECT MANAGEMENT (OUT)
View: https://m.youtube.com/watch?v=ObLfqBMhYlc
Mwenyekiti wa BAVICHA taifa kamanda mwalimu John Pambalu na ujumbe waongea wakuwa ktk mtumbwi wakionesha na wenyeji wa Rufiji hali halisi ya mafuriko