BAWACHA hawatanii, waomba ulinzi wa Polisi, RPC Muroto maji yamfika shingoni, aonywa aache siasa

Nchi ina miaka 60 tangu ipate uhuru na chama kile kile kwa miaka 60. Na chama husika na Serikali kibabu sa eti Serikali ya wanyonge. Kwa miaka yote 60 hii Serikali ya chama kile kile imeshindwaje kuondoa wanyonge Tanzania? Na Wapumbavu wanapiga makofi wanapoitwa wanyonge bila ya kujiuliza wamekuwaje wanyonge katika nchi iliyo huru kwa miaka 60!?
Bado tuna safari ndefu sana.
 
Si tulikubaliana kuwa tatizo sio chama na ndio maana sasa Mama samia anatetewa na wapinzani pamoja na kuwa Mama Samia anatoka ccm.
 

Sawa sawa kabisa
Umenena vyema
 
Noma sana !
 
Reactions: BAK
Umejikunja kuandika ila ni ujinga mtupu. Sheria umeisoma inasemaje?
 
Wakati CCM wanamfukuza Sofia Simba walifuata huo mwongozo? Vipi wale wabunge 5 wa CUF? Kazi ya Spika sio kutunga sheria kazi yake ni kuongoza. Huo mwongozo mpya katunga mwenyewe ghafla baada ya kuona maji yamemfika shingoni. Km huamini muulize Nape.Ushamba wa madaraka ndio unaomsumbua huyu mzee.Ndugai.
 
Hao nao wanataka akina mzee mdee watolewe wachukue wao hizo nafasi, hamna jipya hapo, ni mwendo wa siasa zile zile za kila siku, Siasa maslahi
 
Chadema ina vilaza watupu kabisa hawawezi kubadilisha chochote kuanzia Mbowe ni kilaza na katili namba moja dikteta hatari kabisa kuwahi kutokea Lema naye kwanza ana nn hata hajasoma mnyika naye zero tu its a failed CHADEMA Lichama limekufa vibaya hili kwa tamaa za kipumbavu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…