BAWACHA hawatanii, waomba ulinzi wa Polisi, RPC Muroto maji yamfika shingoni, aonywa aache siasa

Hao nao wanataka akina mzee mdee watolewe wachukue wao hizo nafasi, hamna jipya hapo, ni mwendo wa siasa zile zile za kila siku, Siasa maslahi
Chadema ina vilaza watupu kabisa hawawezi kubadilisha chochote kuanzia Mbowe ni kilaza na katili namba moja dikteta hatari kabisa kuwahi kutokea Lema naye kwanza ana nn hata hajasoma mnyika naye zero tu its a failed CHADEMA Lichama limekufa vibaya hili kwa tamaa za kipumbavu
 
hivi kwanini verified member wengi wa jf ni mbumbumbu ?
Chadema ina vilaza watupu kabisa hawawezi kubadilisha chochote kuanzia Mbowe ni kilaza na katili namba moja dikteta hatari kabisa kuwahi kutokea Lema naye kwanza ana nn hata hajasoma mnyika naye zero tu its a failed CHADEMA Lichama limekufa vibaya hili kwa tamaa za kipumbavu
 
Nchi inapumua bado kirusi kimoja ama viwili mungu atuondolee tujue nchi imerudi zama za kushirikiana. Legacy inapotea hivi.
Chadema ina vilaza watupu kabisa hawawezi kubadilisha chochote kuanzia Mbowe ni kilaza na katili namba moja dikteta hatari kabisa kuwahi kutokea Lema naye kwanza ana nn hata hajasoma mnyika naye zero tu its a failed CHADEMA Lichama limekufa vibaya hili kwa tamaa za kipumbavu
 
Sasa hivi kuna uhuru wa vyombo vya habari hadi raha.ITV wameirusha hii clip kwenye taarifa ya habari.Ingekuwa kipindi cha Mwenyekwenda zake ,walahi wasingethubutu kurusha!!
Chadema ina vilaza watupu kabisa hawawezi kubadilisha chochote kuanzia Mbowe ni kilaza na katili namba moja dikteta hatari kabisa kuwahi kutokea Lema naye kwanza ana nn hata hajasoma mnyika naye zero tu its a failed CHADEMA Lichama limekufa vibaya hili kwa tamaa za kipumbavu
 
Wapuuzi kama wewe ni tatizo kubwa sana nchini. Hao COVID-19 wako Bungeni kinyume na Katiba ya nchi na wanalipwa kiharamu mabilioni ya pesa za walipa kodi halafu wewe unadai eti ni politics zisizo na tija!!!! 😳

Muroto alianza kupona ukichaa kipindi fulani, akakaa kimya tukajua ameishapona, ila sasa naona ukichaa unaanza kurudi kwa kasi ya 4G.

Mwache ajisahau na kuhisi huu bado ni utawala wa mpenda sifa, Mama hapakaliwi mafuta kwa mgongo wa chupa wala hatanii. Mama kaisha anza na Biswalo kuvuliwa DPP na kupelekwa mahakamani ili akajionee raha ya kusikiliza kesi zisizoisha kwa kuahirishwa kila kukicha mpaka miaka 7 inakata.

Wazuke tu halafu huyo taahira wa Kigogo afanye ujuha wake.
Chadema ina vilaza watupu kabisa hawawezi kubadilisha chochote kuanzia Mbowe ni kilaza na katili namba moja dikteta hatari kabisa kuwahi kutokea Lema naye kwanza ana nn hata hajasoma mnyika naye zero tu its a failed CHADEMA Lichama limekufa vibaya hili kwa tamaa za kipumbavu
 
Kimeumana

wivu tu, ndugai alishatoa muongozo wa kufata, leteni kikao kilichokaa , ambatisheni kaatiba yenu inasemaje, je baraza kuu lilikaa lini, je walisikilizwa,

je kama mlizidiana maarifa kwenye ulaji, au kuwekana ubunge viti maalumu , mmeamua kuwaaharibia, basi ndugai awafukuze tu ....kama ikiwa hivo ,itakuwa mbunge akigombana na wenye chama hata bila sababu ya msingi, anavuliwa uanachama then anakomolewa asiwe mbunge , Na spika akikubali huo ujinga ,.... basi Hakuna demokrasia mnayoiimba kila siku

HAPA NI WIVU TU KWA KINA MDEE , KISA WALIWAWAHI KINA MBOWE WASIPELEKE MAJINA YA KINA JOYCE MUKYA
Kama Ndugai anavyotaka kujua kikao kilichokaa na katiba iliyowafukuza ndivyo angedai wakati wa kuwapokea bungeni. Ni kikao gani kilikaa kuwateua, katiba ya CHADEMA inasemaje kuhusu uteuzi, na nani anapelekwa majina kwa tume ya uchaguzi! Sasa tatizo nyie mme-engage gear ya reverse! Mnataka muamzie kwenye rufaa ya kuwafukuza, muende kwenye kufukuzwa, muende kwenye majina kwenda kwa tume, muende kwenye vikao vya kuteua wabunge, muende kwenye matangazo ya ushindi wa uchaguzi mkuu, muende kwenye wizi wa kura, muende kwenye uchaguzi, muende kwenye rafu za kampeni! This is rubish!!!!

Unachotakiwa kuelewa ni kwamba enzi za Jiwe, Polepole, Bashiru, Mahere na Biswalo zimekwisha. Na kama Ndungai angekuwa ndani ya orbit ya Mama Samia tayari angekuwa kama alivyosema Nyerere na wazanaki wanavyosema kuwa angeishakwenda na MAZI GA NYANJA! yaani angeishabaki na ulinzi wa ile fimbo yake anayowapigia wanaompinga kwenye kampeni za uchaguzi wa ndani wa CCM tu!

Edy Muffy alisema- "TIME MUST, AND ALWAYS DO CHANGE MY FRIEND" SO don't let your brain stand still, be dynamic, change with time or else you will be left behind!
 
Ebu yaishe basi, kwani tukifanya yale ya laki 5 kila mwezi kwa hao 19 itasaidia kuendesha chama vizuri tu?! (9.5m/= per month), 114m/= per year, now times 5, almost half a billion?! Si zinajenga ofisi isiyokuwepo kabisa?!
 
A
Wapuuzi kama wewe ni tatizo kubwa sana nchini. Hao COVID-19 wako Bungeni kinyume na Katiba ya nchi na wanalipwa kiharamu mabilioni ya pesa za walipa kodi halafu wewe unadai eti ni politics zisizo na tija!!!! 😳
Achana na huyu ponko.
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Itabidi wanaume tukitaka kuoa tuwe tunafatilia kwa undani na chama anashabikia mwanamke, wanawake kama hawa sjui kama wanawaume probably n ownership ya dj zero
 
Kama Ndugai anavyotaka kujua kikao kilichokaa na katiba iliyowafukuza ndivyo angedai wakati wa kuwapokea bungeni. Ni kikao gani kilikaa kuwateua, katiba ya CHADEMA inasemaje kuhusu uteuzi, na nani anapelekwa majina kwa tume ya uchaguzi! Sasa tatizo nyie mme-engage gear ya reverse! Mnataka muamzie kwenye rufaa ya kuwafukuza, muende kwenye kufukuzwa, muende kwenye majina kwenda kwa tume, muende kwenye vikao vya kuteua wabunge, muende kwenye matangazo ya ushindi wa uchaguzi mkuu, muende kwenye wizi wa kura, muende kwenye uchaguzi, muende kwenye rafu za kampeni! This is rubish!!!!

Unachotakiwa kuelewa ni kwamba enzi za Jiwe, Polepole, Bashiru, Mahere na Biswalo zimekwisha. Na kama Ndungai angekuwa ndani ya orbit ya Mama Samia tayari angekuwa kama alivyosema Nyerere na wazanaki wanavyosema kuwa angeishakwenda na MAZI GA NYANJA! yaani angeishabaki na ulinzi wa ile fimbo yake anayowapigia wanaompinga kwenye kampeni za uchaguzi wa ndani wa CCM tu!

Edy Muffy alisema- "TIME MUST, AND ALWAYS DO CHANGE MY FRIEND" SO don't let your brain stand still, be dynamic, change with time or else you will be left behind!
Chadema ina vilaza watupu kabisa hawawezi kubadilisha chochote kuanzia Mbowe ni kilaza na katili namba moja dikteta hatari kabisa kuwahi kutokea Lema naye kwanza ana nn hata hajasoma mnyika naye zero tu its a failed CHADEMA Lichama limekufa vibaya hili kwa tamaa za kipumbavu
 
Halafu mwanaume kushinda kutwa kubishana na wanawake ni aibu. Ndugai haache kujibizana na wanawake,chozi la mwanamke halipotei bure. Yeye hashangai wabunge wanawake wa ccm wapi baridiii kumsaidia kujibizana na wenzao
Chadema ina vilaza watupu kabisa hawawezi kubadilisha chochote kuanzia Mbowe ni kilaza na katili namba moja dikteta hatari kabisa kuwahi kutokea Lema naye kwanza ana nn hata hajasoma mnyika naye zero tu its a failed CHADEMA Lichama limekufa vibaya hili kwa tamaa za kipumbavu
 
wivu tu, ndugai alishatoa muongozo wa kufata, leteni kikao kilichokaa , ambatisheni kaatiba yenu inasemaje, je baraza kuu lilikaa lini, je walisikilizwa,

je kama mlizidiana maarifa kwenye ulaji, au kuwekana ubunge viti maalumu , mmeamua kuwaaharibia, basi ndugai awafukuze tu ....kama ikiwa hivo ,itakuwa mbunge akigombana na wenye chama hata bila sababu ya msingi, anavuliwa uanachama then anakomolewa asiwe mbunge , Na spika akikubali huo ujinga ,.... basi Hakuna demokrasia mnayoiimba kila siku

HAPA NI WIVU TU KWA KINA MDEE , KISA WALIWAWAHI KINA MBOWE WASIPELEKE MAJINA YA KINA JOYCE MUKYA
Kumshangilia ndugai kwa hili Ni kukosa uzalendo kwa taifa letu, ndugai kaivunja katiba.period.Watanzania tuwe wazalendo kwa nchi yetu jamani.Shoka liitwe shoka
 
Chadema ina vilaza watupu kabisa hawawezi kubadilisha chochote kuanzia Mbowe ni kilaza na katili namba moja dikteta hatari kabisa kuwahi kutokea Lema naye kwanza ana nn hata hajasoma mnyika naye zero tu its a failed CHADEMA Lichama limekufa vibaya hili kwa tamaa za kipumbavu
Una chuki binafsi na chadema, kikatiba ndugai kachemka
 
Sheria za inchi zinataka viti maalum 19 kutoka chadema, na wako bungeni

Ingekuwa wamekuwa bungeni after kufukuzwa uanachama hapo ni sawa
Ukishafukuzwa chama Mara moja automatic, wewe Sio mbunge ndugu.Katiba ndo inataka hivo
 
Muroto alianza kupona ukichaa kipindi fulani, akakaa kimya tukajua ameishapona, ila sasa naona ukichaa unaanza kurudi kwa kasi ya 4G.

Mwache ajisahau na kuhisi huu bado ni utawala wa mpenda sifa, Mama hapakaliwi mafuta kwa mgongo wa chupa wala hatanii. Mama kaisha anza na Biswalo kuvuliwa DPP na kupelekwa mahakamani ili akajionee raha ya kusikiliza kesi zisizoisha kwa kuahirishwa kila kukicha mpaka miaka 7 inakata.
Kati ya DPP na Judge ni nani aliye juu?
 
Back
Top Bottom