Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Hapo ilikuwa ukitaka kumchinja kobe timming! Mbowe alikosea timming kabla ya kumchinja kobe akawa kashaficha shingo!wivu tu, ndugai alishatoa muongozo wa kufata, leteni kikao kilichokaa , ambatisheni kaatiba yenu inasemaje, je baraza kuu lilikaa lini, je walisikilizwa,
je kama mlizidiana maarifa kwenye ulaji, au kuwekana ubunge viti maalumu , mmeamua kuwaaharibia, basi ndugai awafukuze tu ....kama ikiwa hivo ,itakuwa mbunge akigombana na wenye chama hata bila sababu ya msingi, anavuliwa uanachama then anakomolewa asiwe mbunge , Na spika akikubali huo ujinga ,.... basi Hakuna demokrasia mnayoiimba kila siku
HAPA NI WIVU TU KWA KINA MDEE , KISA WALIWAWAHI KINA MBOWE WASIPELEKE MAJINA YA KINA JOYCE MUKYA
Too late, alitaka dada zake ndio wale mijihela ila wakawa washapoteza timming!