kina kirefu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2018
- 15,188
- 18,583
aise, usipende kutamka maendeleo na hujui maendeleo ni nn na yanatoka aje ,hakuna maendeleo bila siasa safiWatu badala ya kufanya kazi ili kukuza uchumi wa nchi wamekalia poor politics zisizo na tija katika uchumi na maendeleo ya nchi, poor you!
Sent from my TECNO F2 using JamiiForums mobile app