BAWACHA hawatanii, waomba ulinzi wa Polisi, RPC Muroto maji yamfika shingoni, aonywa aache siasa

Virusi wote wanapukutishwa tu vado Mwanasheria Mkuu ....Ndugai na wenzake soin tutapona ksma Taifa
 
Wapuuzi kama wewe ni tatizo kubwa sana nchini. Hao COVID-19 wako Bungeni kinyume na Katiba ya nchi na wanalipwa kiharamu mabilioni ya pesa za walipa kodi halafu wewe unadai eti ni politics zisizo na tija!!!! [emoji15]
Vaa dela nenda ww huko bungeni. Acheni chuki zenu. Mnakomalia vitu vya kijinga sana. Mbona hamkomalii MBOWE atoke pale kwenye cheo chake pamoja na ELIMU YAKE NDOGO? UJINGA TUPU afu ndio mpewe nchi kwa akili hizi? Mpaka dunia inaisha CHADEMA haitokaa ichukue nchi hii. UKABILA MTUPU.
 
Sasa hivi kuna uhuru wa vyombo vya habari hadi raha.ITV wameirusha hii clip kwenye taarifa ya habari.Ingekuwa kipindi cha Mwenyekwenda zake ,walahi wasingethubutu kurusha!!
Kipindi cha JPM huo muda waliopoteza kwenye vyombo vya habari wangekuwa bize kuchapa kazi kujiletea maendeleo yao
 
wivu tu, ndugai alishatoa muongozo wa kufata, leteni kikao kilichokaa , ambatisheni kaatiba yenu inasemaje, je baraza kuu lilikaa lini, je walisikilizwa,
Ndugai hana mamlaka ya kudai hayo anayodai. Yeye anapokea taarifa toka CDM kwa taratibu zilizowekwa. Hakuna mahali ambapo sheria/knuni zinasema kuwe na viambatanisho. Hili ni suala la kisheria na sheria hatungi Ndugai
 
Nchi ina miaka 60 tangu ipate uhuru na chama kile kile kwa miaka 60. Na chama husika na Serikali kibabu sa eti Serikali ya wanyonge. Kwa miaka yote 60 hii Serikali ya chama kile kile imeshindwaje kuondoa wanyonge Tanzania? Na Wapumbavu wanapiga makofi wanapoitwa wanyonge bila ya kujiuliza wamekuwaje wanyonge katika nchi iliyo huru kwa miaka 60!?
Bado tuna safari ndefu sana.
Mngeanza na mwenyekiti wenu aliyepigwa spot za welding na hana mpango wa kuachia kiti for a life time.
 
Watu badala ya kufanya kazi ili kukuza uchumi wa nchi wamekalia poor politics zisizo na tija katika uchumi na maendeleo ya nchi, poor you!
Wewe umejenga nchi mbona na wewe umekalia politic hapo ulipo 🤣🤣🤣
 
wivu tu, ndugai alishatoa muongozo wa kufata, leteni kikao kilichokaa , ambatisheni kaatiba yenu inasemaje, je baraza kuu lilikaa lini, je walisikilizwa,

je kama mlizidiana maarifa kwenye ulaji, au kuwekana ubunge viti maalumu , mmeamua kuwaaharibia, basi ndugai awafukuze tu ....kama ikiwa hivo ,itakuwa mbunge akigombana na wenye chama hata bila sababu ya msingi, anavuliwa uanachama then anakomolewa asiwe mbunge , Na spika akikubali huo ujinga ,.... basi Hakuna demokrasia mnayoiimba kila siku

HAPA NI WIVU TU KWA KINA MDEE , KISA WALIWAWAHI KINA MBOWE WASIPELEKE MAJINA YA KINA JOYCE MUKYA
Huwa nacheka sana pale CCM inapowatetea wabunge wa COVID 19 [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
wivu tu, ndugai alishatoa muongozo wa kufata, leteni kikao kilichokaa , ambatisheni kaatiba yenu inasemaje, je baraza kuu lilikaa lini, je walisikilizwa,

je kama mlizidiana maarifa kwenye ulaji, au kuwekana ubunge viti maalumu , mmeamua kuwaaharibia, basi ndugai awafukuze tu ....kama ikiwa hivo ,itakuwa mbunge akigombana na wenye chama hata bila sababu ya msingi, anavuliwa uanachama then anakomolewa asiwe mbunge , Na spika akikubali huo ujinga ,.... basi Hakuna demokrasia mnayoiimba kila siku

HAPA NI WIVU TU KWA KINA MDEE , KISA WALIWAWAHI KINA MBOWE WASIPELEKE MAJINA YA KINA JOYCE MUKYA
Bunge haliongozwi kwa miongozo, bali kanuni na sheria
 
Nchi inapumua bado kirusi kimoja ama viwili mungu atuondolee tujue nchi imerudi zama za kushirikiana. Legacy inapotea hivi.
Clinic yake India lini?? Kile cha Punjab kimefika congo, soon kitakuwa bandarini kwa malori ya mizigo
 
Wapi wapinzani walipomtetea? 😳
Tunawaona humu wale mliyokuwa mkijitambulisha kuwa ni wapinzani na mlikuwa mkikosoa utawala wa Magufuli ndio nyie sasa leo mkiona mtu anamkosoa Mama Samia nyie mnamwita ni sukuma gang na kutetea kwa nguvu zote.
 
Watu badala ya kufanya kazi ili kukuza uchumi wa nchi wamekalia poor politics zisizo na tija katika uchumi na maendeleo ya nchi, poor you!
Uchumi haukuwi bila hizo unazoziita 'poor politics'.
 
Hebu acha uongo wako wa kunisingizia kitu ambacho sijawahi kukiandika. Kutoka kinywani kwake mwenyewe mama kadai yeye ni kitu kimoja na dhalimu magufuli wakati huo huo anataka kujitofautisha na dhalimu!!! Ni maajabu na hata kabla ya miezi miwili umaarufu aliojizolea baada ya hotuba yake ya siku aliyoapishwa eti tufutane machozi umeanguka vibaya sana sasa kabaki KUDEMKA TU!
Tunawaona humu wale mliyokuwa mkijitambulisha kuwa ni wapinzani na mlikuwa mkikosoa utawala wa Magufuli ndio nyie sasa leo mkiona mtu anamkosoa Mama Samia nyie mnamwita ni sukuma gang na kutetea kwa nguvu zote.
 
Virusi wote wanapukutishwa tu vado Mwanasheria Mkuu ....Ndugai na wenzake soin tutapona ksma Taifa
Ubaya ccm inabaki na ndiyo kiwanda cha kuunda hivyo virusi, sasa hapo tunafanyaje hapo? au tujifariji tu kwa kuondoa virusi na huku tumeacha mtambo wa virusi kuendelea kuzalisha virusi wengine?
 
wivu tu, ndugai alishatoa muongozo wa kufata, leteni kikao kilichokaa , ambatisheni kaatiba yenu inasemaje, je baraza kuu lilikaa lini, je walisikilizwa,

je kama mlizidiana maarifa kwenye ulaji, au kuwekana ubunge viti maalumu , mmeamua kuwaaharibia, basi ndugai awafukuze tu ....kama ikiwa hivo ,itakuwa mbunge akigombana na wenye chama hata bila sababu ya msingi, anavuliwa uanachama then anakomolewa asiwe mbunge , Na spika akikubali huo ujinga ,.... basi Hakuna demokrasia mnayoiimba kila siku

HAPA NI WIVU TU KWA KINA MDEE , KISA WALIWAWAHI KINA MBOWE WASIPELEKE MAJINA YA KINA JOYCE MUKYA
Wazazi wako wamepata hasara
 
Back
Top Bottom