BAWACHA kuandamana leo Dar es Salaam

BAWACHA kuandamana leo Dar es Salaam

Katibu mkuu wa CHADEMA alishaliweka bayana swala hilo kuwa ni forgery na kamuandikia Spika wa Bunge la CCM hizi siasa mnazobwabwaja humu ni za kitoto sana.
Yaani Kuna sarakasi sana kwenye hili sakata...mnyika aliwai kusema kua cdm hawakua na baraka nao...
 
Ni kwel kabisa ila kipindi kile serikali ilikua imeshika hatamu....
Wako sahihi maana haiwezekani mtu yuko gerezani (mahabusu)Nusrat Hanje ana kesi ya kujibu lakini anachukuliwa na kuapishwa kuwa Mbunge bila ruhusa ya Mahakama huu ni uvunjwaji wa wazi wa sheria za nchi.
 
Wapo wanaodai wanachadema wamenunuliwa, Je, kwa mlolongo huo tunaweza sema sahihi(signature) imenunuliwa?

Bwana Tundu anataka kuona watu wakitubu, Je vinara wahusika wa CHADEMA wapo tayari kutubu? na Kutuambia wao walihuskia vipi?

.... vinginevyo waende mahakamani!
Dunia Ina mambo na imejaa illusion 😔
 
Wako sahihi maana haiwezekani mtu yuko gerezani (mahabusu)Nusrat Hanje ana kesi ya kujibu lakini anachukuliwa na kuapishwa kuwa Mbunge bila ruhusa ya Mahakama huu ni uvunjwaji wa wazi wa sheria za nchi.
Haya si ndio yalipaswa yawe kwenye vile vikao vya maridhiano?
Huwa nashangaa kwa nini viongozi chadema hawashiniki hili swala kwenye maridhiano
 
Hawawezi fanikiwaa nipo pale nimekaa na miwani zangu za ki dacta🤓🤓
Maandamano ya leo lengo ni kufikisha ujumbe kwa Wananchi wa Tanzania kuwa fedha zenu zinaliwa.

Kila Mtanzania anatakiwa kujuwa kuwa kodi zake zinatumika kuwalipa akina Mdee na wenzake ambao hawastahili na badala yake zitumike katika shughuli nyingine za kimaendeleo.

Sasa wewe hutaki wafanikiwe nini?

Hizo fedha wanazolipwa kina Mdee ni bora hata zingepelekwa ustawi wa Jamii kuwasaidia watu wanaoteseka na maisha magumu.

#Free Dawa Juma.
 
Maandamano ya leo lengo ni kufikisha ujumbe kwa Wananchi wa Tanzania kuwa fedha zenu zinaliwa.

Kila Mtanzania akijuwa kuwa kodi zake zinatumika kuwalipa akina Mdee na wenzake ambao hawastahili na badala yake zitumike katika shughuli nyingine za kimaendeleo.

Sasa wewe hutaki wafanikiwe nini?
Kwani Yale yanayosemwa na MABANGO ya maridhiano nchi nzima...unadhani haikua Moja ya ajenda ya mbowe.....

Kuandamana ni kuuambia umma wa Watanzania kua MARIDHIANO YA CCM NA CHADEMA,
Yapo Kwa maslahi binafsi ya mwenyekiti au Mh: Mbowe ni muda Sasa atoke nje awa ambie wanachama wake...
Kuondoa hii sintofahamu.... najaribu kuwaza hayo maandamano Yana baraka za mwenyekiti wa CHADEMA taifa? Au
 
Haya si ndio yalipaswa yawe kwenye vile vikao vya maridhiano?
Huwa nashangaa kwa nini viongozi chadema hawashiniki hili swala kwenye maridhiano
Mkuu hata mimi niliwahi kujiuliza kipindi kile naangalia tv wakiwa pale Kuringe hall, kwamba hili lilitakiwa liwe sharti ndani ya maridhiano, lakini sijui ni kwa nini Mbowe hakuona umuhimu wa hili jambo, hawa Bawacha wasingepata shida wanayoipitia hivi sasa.
 
Naked trust
 
Back
Top Bottom