johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Mmefanikiwa kuvuka Daraja la Salenda?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmefanikiwa kuvuka Daraja la Salenda?
Sasa unataka kudai hakuna Wana Chadema walionunuliwa?Katibu mkuu wa CHADEMA alishaliweka bayana swala hilo kuwa ni forgery na kamuandikia Spika wa Bunge la CCM hizi siasa mnazobwabwaja humu ni za kitoto sana.
Duu chezea Dola tumeona mengi mpk police ni wanachama wa chama Dolabavicha Dom hiyo
Mkuu unataka ugomvi wa ngumi Mimi simo..🤣🤣🤣😂😂😂🤣🤣Mmefanikiwa kuvuka Daraja la Salenda?
Kununuliwa?Sasa unataka kudai hakuna Wana Chadema walionunuliwa?
Yaani Kuna sarakasi sana kwenye hili sakata...mnyika aliwai kusema kua cdm hawakua na baraka nao...Katibu mkuu wa CHADEMA alishaliweka bayana swala hilo kuwa ni forgery na kamuandikia Spika wa Bunge la CCM hizi siasa mnazobwabwaja humu ni za kitoto sana.
Wako sahihi maana haiwezekani mtu yuko gerezani (mahabusu)Nusrat Hanje ana kesi ya kujibu lakini anachukuliwa na kuapishwa kuwa Mbunge bila ruhusa ya Mahakama huu ni uvunjwaji wa wazi wa sheria za nchi.
Yule Mwita Waitara mlie mhonga Lori la Pombe kutoka Breweries akahamia CCM.Sasa unataka kudai hakuna Wana Chadema walionunuliwa?
Dunia Ina mambo na imejaa illusion 😔Wapo wanaodai wanachadema wamenunuliwa, Je, kwa mlolongo huo tunaweza sema sahihi(signature) imenunuliwa?
Bwana Tundu anataka kuona watu wakitubu, Je vinara wahusika wa CHADEMA wapo tayari kutubu? na Kutuambia wao walihuskia vipi?
.... vinginevyo waende mahakamani!
Matibabu ya nini??Pesa za matibabu juu yangu
Kufoji nyaraka mbona wala sio rocket science.Yaani Kuna sarakasi sana kwenye hili sakata...mnyika aliwai kusema kua cdm hawakua na baraka nao...
Haya si ndio yalipaswa yawe kwenye vile vikao vya maridhiano?Wako sahihi maana haiwezekani mtu yuko gerezani (mahabusu)Nusrat Hanje ana kesi ya kujibu lakini anachukuliwa na kuapishwa kuwa Mbunge bila ruhusa ya Mahakama huu ni uvunjwaji wa wazi wa sheria za nchi.
Kamanda Wambura anajuaMatibabu ya nini??
Hawawezi fanikiwaa nipo pale nimekaa na miwani zangu za ki dacta🤓🤓KILA LA KHERI BAWACHA ALLAH AKUTANGULIENI.
Maandamano ya leo lengo ni kufikisha ujumbe kwa Wananchi wa Tanzania kuwa fedha zenu zinaliwa.Hawawezi fanikiwaa nipo pale nimekaa na miwani zangu za ki dacta🤓🤓
Kwani Yale yanayosemwa na MABANGO ya maridhiano nchi nzima...unadhani haikua Moja ya ajenda ya mbowe.....Maandamano ya leo lengo ni kufikisha ujumbe kwa Wananchi wa Tanzania kuwa fedha zenu zinaliwa.
Kila Mtanzania akijuwa kuwa kodi zake zinatumika kuwalipa akina Mdee na wenzake ambao hawastahili na badala yake zitumike katika shughuli nyingine za kimaendeleo.
Sasa wewe hutaki wafanikiwe nini?
Mkuu hata mimi niliwahi kujiuliza kipindi kile naangalia tv wakiwa pale Kuringe hall, kwamba hili lilitakiwa liwe sharti ndani ya maridhiano, lakini sijui ni kwa nini Mbowe hakuona umuhimu wa hili jambo, hawa Bawacha wasingepata shida wanayoipitia hivi sasa.Haya si ndio yalipaswa yawe kwenye vile vikao vya maridhiano?
Huwa nashangaa kwa nini viongozi chadema hawashiniki hili swala kwenye maridhiano
Naked trustMkuu hata mimi niliwahi kujiuliza kipindi kile naangalia tv wakiwa pale Kuringe hall, kwamba hili lilitakiwa liwe sharti ndani ya maridhiano, lakini sijui ni kwa nini Mbowe hakuona umuhimu wa hili jambo, hawa Bawacha wasingepata shida wanayoipitia hivi sasa.