BAWACHA kuongea na waandishi wa habari wa ndani na nje ya nchi

BAWACHA kuongea na waandishi wa habari wa ndani na nje ya nchi

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Hii ndio taarifa yao mpya waliyoisambaza kwa vyombo vyote vya habari duniani

FB_IMG_1620067157155.jpg

Wote Mnakaribishwa .

Tunasisitiza kwa wale wote watakaohudhuria kufuata mwongozo wa WHO wa kudhibiti maambukizi ya corona
 
Bora nyinyi BAWACHA mfanye hiyo Press Conference.

Bila shaka mtalieleza kinagaubaga suala la akina Halima Mdee, ili huyu "mbabaishaji" Ndugai afike mwisho wake............

Maana kwa hivi sasa anatapatapa, amefikia hatua kwa anayeusema ukweli anamtisha!

Si nyote mmemsikia akimtisha Nape kwa kuutoboa ukweli kuhusu akina Halima Mdee??
 
Kama wamemegwa na Dj kwa ahadi kwamba atawapa ubunge imekula kwao.

Spika Ndugai yuko imara kuliko muda wowote ule.
 
CHADEMA........

Mkuu Erythrocyte, ukiweza wapenyezee kaushauri kangu kadogo tu, waambie 'ngoma ikilia sana mwishowe hupasuka'. Walikuwa na press conference last week, wana nyingine kesho; press conference za kila wiki zitamaliza utamu masikioni mwa watu. Wataonekena, 'aah, ni yale yale, hakuna jipya'.
 
Bora nyinyi BAWACHA mfanye hiyo Press Conference.

Bila shaka mtalieleza kinagaubaga suala la akina Halima Mdee, ili huyu "mbabaishaji" Ndugai afike mwisho wake............

Maana kwa hivi sasa anatapatapa, amefikia hatua kwa anayeusema ukweli anamtisha!

Si nyote mmemsikia akimtisha Nape kwa kuutoboa ukweli kuhusu akina Halima Mdee??
Hivi hapa anayetapatapa ni Ndugai au hayo Madanga ya BAWACHA?
 
Ongeeni lakini msiwashambulie faru John special queens.
 
Sema bawacha imebaki ya wahuni. Imagine Hilda Newton ndo mzungumzaji mkuu. Mtu ana anahangaika kujua sifa za wanaume wasokua na nguvu za kiume huko twitani Wakati kuna Masuala mengi yanayolisumbua Taifa.
 
madanga
 
Kama wamemegwa na Dj kwa ahadi kwamba atawapa ubunge imekula kwao.

Spika Ndugai yuko imara kuliko muda wowote ule.
Mtu mjinga hata siku moja hawezi kuwa imara. Uimara wa kweli unatokana na uwezo wa kiakili na ukweli wa nafsi.

CCM inaungwa mkono na wajinga (TWAWEZA)

Ndani ya CCM kuna mafisi (Kikwete).
 
Back
Top Bottom