stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 7,134
- 4,556
Hii ndio taarifa yao mpya waliyoisambaza kwa vyombo vyote vya habari duniani
Wote Mnakaribishwa .
Tunasisitiza kwa wale wote watakaohudhuria kufuata mwongozo wa WHO wa kudhibiti maambukizi ya corona
mlivokua mnafanya kampeni mlikua hamjui kuna corona?