BAWACHA kuongea na waandishi wa habari wa ndani na nje ya nchi

Elitwege umekuwa Etwege?? Magu aliwalea vibaya sana. Mnateseka mno.
Watu ambao kwa kiasi kikubwa wamepungukiwa akili wakabakiwa na akili ndogo sana, angalao ya kuweza kushangilia kila jambo, kama huyu Etwege, walipendwa sana na marehemu. Marehemu hakupenda kabisa watu wenye akili, watu wanaoweza kufikiri na wakamkosoa.
 
BAWACHA wana wivu hatari.

Punguzeni wivu eloo.
 
Ngoma za lumumba sio za Ufipa.
 
sasa kila siku kuongea na wanahabari halafu hakuna impact yoyote ni kupoteza muda
 
Sema bawacha imebaki ya wahuni. Imagine Hilda Newton ndo mzungumzaji mkuu. Mtu ana anahangaika kujua sifa za wanaume wasokua na nguvu za kiume huko twitani Wakati kuna Masuala mengi yanayolisumbua Taifa.
Wewe ulienda kusoma huo ujinga wake wa nini.Maana wewe ni mwananchi tu kama yeye sasa wewe unashindwa nini kusema hayo matatizo ya nchi hadi hilda akusemee na akisema mambo yake binafsi unachukia au alilolisema linakuhusu.kama ni hivyo katafute dawa badala ya kumsimanga kwa maisha yake binafsi.
 
Take home message, Nchi haiwezi kuongozwa na madanga", over.
 
saa hizi saa ngapi bawacha wamekosa vyombo vya habari hadi sasa inaelekea saa saba kimyaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…