johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
BAWACHA hawatakagi ujinga!Hiyo itakuwa kali
Nawaangalia Halafu Nasema Hii Bhaghosha 👄🍸Itafahamika tu!
Na uchaguzi hawautambuiHii Kali, Sasa chadema wanagombea kuingia bungeni.!
Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Kila zama na kitabu chake!Sijawahi kusikia kitu kama hiki
Tutaona mengi sana
Sasa ni utawala mwingine!Na uchaguzi hawautambui
Uchaguzi uleuleSasa ni utawala mwingine!
Makamu wa Rais mwingine!Uchaguzi uleule
Hahahaaaa......nani wa kuwapiga mitama!wakitandikwa mitama utaskia "Mama yetu Rais Samia sisi ni wanawake wenzako tunanyanyaswa tusaidie mama" upuuzi mtupu