BAWACHA kutinga Bungeni tarehe 10/05/2021 kuwatimua Wabunge 19 waliopora nafasi za CHADEMA

BAWACHA kutinga Bungeni tarehe 10/05/2021 kuwatimua Wabunge 19 waliopora nafasi za CHADEMA

Bawacha wamepanga kwenda bungeni Dodoma tarehe 10/05/2021 kudai nafasi zao 19 za ubunge zinazokaliwa kwa mabavu na akina Halima Mdee na wenzake .

Mwenyekiti wa Bawacha wilaya ya Chato bi Husna amesema maandamano yao jijini Dodoma kuelekea bungeni hayatakuwa na kikomo hadi suluhisho lipatikane.

Bawacha wamesema safari yao ni ya amani.

Source: ITV habari
Kimeumana.
 
Haya maandamano nadhani yamechelewa na labda yangefaa zaidi mwezi Nov mwaka 2020.

Hii approach kwa sasa sio sahihi na ni bora turudi kwenye basics: Kwanini CHADEMA wasiteue wabunge 19 na kupeleka taarifa ofisi za NEC kwa kuwa wale “walifoji” nyaraka na kimsingi hawatambuliki?

Kwanini rufaa ya akina Mdee haisikilizwi na Baraza Kuu kubariki kutimuliwa kwao? Hivi kipi ni rahisi zaidi on paper kati ya kuratibu maandamano mpaka Bungeni au kuitisha hilo Baraza?
Ujinga.
 
Sijawahi kusikia kitu kama hiki

Tutaona mengi sana
Hapa Ndugai ajiandae muvi imeshaanza .
Mama tayari ni mwenyekiti kwa hiyo jibu lipo wazi.
Hili linamtoa Ndugai kwani Profesa Safari alimuuliza Ndugai anatumia Katiba gani ?
Na hili swali anatakiwa alijibu na akilijibu basi hastahili kuwepo ktk hicho kiti.
 
Chadema kuteua wabunge 19 kuwapeleka kwenye lile bunge haramu.
Sasa BAWACHA wanaandamana ili kuachive nini? Maandamano ndio solution kudeal na ile issue? Tena eti wanapanga kuandamana kuelekea Bungeni.

Kina mama hawa wanahitaji guidance kutoka BAVICHA
 
Hii Kali mm najua wanataka kususa mazima Kumbe wawapishe akina Kiwanga hivi Chadema Kuna mtu yeyote anazo Kweli?
 
CHADEMA fanyeni teuzi za wabunge 19 mkiambatanisha muhitasari wenu wa vikao vilivyofanya maamuzi na mpeleke kwa tume ya Taifa ya uchaguzi ili tume ipeleke hayo majina kwa spika. Bawacha wanaweza kuandamana iwapo tu, wajina yao halali yameshindikana kusomwa bungeni.
Kwa uchaguzi wa mwaka gani?
 
Bawacha wamepanga kwenda Bungeni Dodoma tarehe 10/05/2021 kudai nafasi zao 19 za Ubunge zinazokaliwa kwa mabavu na akina Halima Mdee na wenzake .

Mwenyekiti wa Bawacha wilaya ya Chato bi Husna amesema maandamano yao jijini Dodoma kuelekea Bungeni hayatakuwa na kikomo hadi suluhisho lipatikane.

BAWACHA wamesema safari yao ni ya amani.

Chanzo: ITV habari
Usipotoshe. Wote tumesikia kuwa wanaenda kuwatimua ili wasiendelee kulipwa fedha ya umma bila uhalali na siyo kudai nafasi za ubunge viti maalumu.
 
Bawacha wamepanga kwenda Bungeni Dodoma tarehe 10/05/2021 kudai nafasi zao 19 za Ubunge zinazokaliwa kwa mabavu na akina Halima Mdee na wenzake .

Mwenyekiti wa Bawacha wilaya ya Chato bi Husna amesema maandamano yao jijini Dodoma kuelekea Bungeni hayatakuwa na kikomo hadi suluhisho lipatikane.

BAWACHA wamesema safari yao ni ya amani.

Chanzo: ITV habari
Mkuu naona umerudi CHADEMA kimya kimya
 
Haya maandamano nadhani yamechelewa na labda yangefaa zaidi mwezi Nov mwaka 2020.

Hii approach kwa sasa sio sahihi na ni bora turudi kwenye basics: Kwanini CHADEMA wasiteue wabunge 19 na kupeleka taarifa ofisi za NEC kwa kuwa wale “walifoji” nyaraka na kimsingi hawatambuliki?

Kwanini rufaa ya akina Mdee haisikilizwi na Baraza Kuu kubariki kutimuliwa kwao? Hivi kipi ni rahisi zaidi on paper kati ya kuratibu maandamano mpaka Bungeni au kuitisha hilo Baraza?
Point sn
 
Dodoma kuna hiki chuma🤣
images (54).jpeg
 
Back
Top Bottom