Waterloo
JF-Expert Member
- Nov 30, 2010
- 25,356
- 38,922
Hizo zilikuwa enzi za utawala wa dikteta mkuu shtuka usingizini.Wajiandae kuchakazwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizo zilikuwa enzi za utawala wa dikteta mkuu shtuka usingizini.Wajiandae kuchakazwa
Kimeumana.Bawacha wamepanga kwenda bungeni Dodoma tarehe 10/05/2021 kudai nafasi zao 19 za ubunge zinazokaliwa kwa mabavu na akina Halima Mdee na wenzake .
Mwenyekiti wa Bawacha wilaya ya Chato bi Husna amesema maandamano yao jijini Dodoma kuelekea bungeni hayatakuwa na kikomo hadi suluhisho lipatikane.
Bawacha wamesema safari yao ni ya amani.
Source: ITV habari
Ujinga.Haya maandamano nadhani yamechelewa na labda yangefaa zaidi mwezi Nov mwaka 2020.
Hii approach kwa sasa sio sahihi na ni bora turudi kwenye basics: Kwanini CHADEMA wasiteue wabunge 19 na kupeleka taarifa ofisi za NEC kwa kuwa wale “walifoji” nyaraka na kimsingi hawatambuliki?
Kwanini rufaa ya akina Mdee haisikilizwi na Baraza Kuu kubariki kutimuliwa kwao? Hivi kipi ni rahisi zaidi on paper kati ya kuratibu maandamano mpaka Bungeni au kuitisha hilo Baraza?
Ila lina kiongozi muhuni.Wasilete uhuni. Bunge si uwanja wa wahuni.
Matokeo ya form 4?Kwani walikwisha tambua matokeo ya 2020? Hawa jamaa viazi sana.
Mbona ndani ya bunge wamejaa wahuni watupu?Wasilete uhuni. Bunge si uwanja wa wahuni.
Hapa Ndugai ajiandae muvi imeshaanza .Sijawahi kusikia kitu kama hiki
Tutaona mengi sana
Chadema Kuna tatizo kubwa sanaBawacha wamesema safari yao ni ya amani.
Kipi ni ujinga sasa? Maandamano au kutoitisha mkutano wa baraza kuu au Kauli za speaker?Ujinga.
Chadema kuteua wabunge 19 kuwapeleka kwenye lile bunge haramu.Kipi ni ujinga sasa? Maandamano au kutoitisha mkutano wa baraza kuu au Kauli za speaker?
Sasa BAWACHA wanaandamana ili kuachive nini? Maandamano ndio solution kudeal na ile issue? Tena eti wanapanga kuandamana kuelekea Bungeni.Chadema kuteua wabunge 19 kuwapeleka kwenye lile bunge haramu.
Kwa uchaguzi wa mwaka gani?CHADEMA fanyeni teuzi za wabunge 19 mkiambatanisha muhitasari wenu wa vikao vilivyofanya maamuzi na mpeleke kwa tume ya Taifa ya uchaguzi ili tume ipeleke hayo majina kwa spika. Bawacha wanaweza kuandamana iwapo tu, wajina yao halali yameshindikana kusomwa bungeni.
Usipotoshe. Wote tumesikia kuwa wanaenda kuwatimua ili wasiendelee kulipwa fedha ya umma bila uhalali na siyo kudai nafasi za ubunge viti maalumu.Bawacha wamepanga kwenda Bungeni Dodoma tarehe 10/05/2021 kudai nafasi zao 19 za Ubunge zinazokaliwa kwa mabavu na akina Halima Mdee na wenzake .
Mwenyekiti wa Bawacha wilaya ya Chato bi Husna amesema maandamano yao jijini Dodoma kuelekea Bungeni hayatakuwa na kikomo hadi suluhisho lipatikane.
BAWACHA wamesema safari yao ni ya amani.
Chanzo: ITV habari
Mkuu naona umerudi CHADEMA kimya kimyaBawacha wamepanga kwenda Bungeni Dodoma tarehe 10/05/2021 kudai nafasi zao 19 za Ubunge zinazokaliwa kwa mabavu na akina Halima Mdee na wenzake .
Mwenyekiti wa Bawacha wilaya ya Chato bi Husna amesema maandamano yao jijini Dodoma kuelekea Bungeni hayatakuwa na kikomo hadi suluhisho lipatikane.
BAWACHA wamesema safari yao ni ya amani.
Chanzo: ITV habari
Point snHaya maandamano nadhani yamechelewa na labda yangefaa zaidi mwezi Nov mwaka 2020.