Punda wa Dobi
JF-Expert Member
- Jul 4, 2013
- 591
- 237
Wajiandae kuchakazwaBawacha wamepanga kwenda bungeni Dodoma tarehe 10/05/2021 kudai nafasi zao 19 za ubunge zinazokaliwa kwa mabavu na akina Halima Mdee na wenzake .
Mwenyekiti wa Bawacha wilaya ya Chato bi Husna amesema maandamano yao jijini Dodoma kuelekea bungeni hayatakuwa na kikomo hadi suluhisho lipatikane.
Bawacha wamesema safari yao ni ya amani.
Source: ITV habari