BAWACHA kutinga Bungeni tarehe 10/05/2021 kuwatimua Wabunge 19 waliopora nafasi za CHADEMA

Si walisema hawatapeleka wabunge wowote na hawautambui uchaguzi sasa nini kinawawasha mpaka hao bavicha kujipeleka bungeni
 
Kwani zile nafasi wao chadema wanazitambua
 
Yes ili tujue msimamo wa Rais kuhusu wabubge wa COVID19 ni upi?
 
Chadema hawaishiwi sarakasi si walisema hawautambui uchaguzi wa 2020.
 
Ilo Baraza tutafika 2025 halijakaa kusikikiliza Rufaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakitandikwa mitama utasikia "Mama yetu Rais Samia sisi ni wanawake wenzako tunanyanyaswa tusaidie mama" upuuzi mtupu
Unasumbuliwa na ugaidi wa Jpm ndugu yangu. Maandamano ni haki ya kikatiba sema jpm aliharibu mentaliti yako. Unadhani kuwa maandamano ya uhuni kumbu kumbe ni njia sahihi
 
Unasumbuliwa na ugaidi wa Jpm ndugu yangu. Maandamano ni haki ya kikatiba sema jpm aliharibu mentaliti yako. Unadhani kuwa maandamano ya uhuni kumbu kumbe ni njia sahihi
nitake radhi,siharibiwi mentaliti na "washamba"
 
Hii sasa ni fujo. Halafu wakikamatwa na kuwekwa ndani watasema wanaonewa!!! Huu ni upuuzi!!!!
 
Na lawama atabebeshwa Ndugai. We need to take responsibility for our actions and avoid blaming others for things that are happening/not happening to us
Kuna mtu alisema hawawezi kuitisha kikao cha baraza kuu kujadili wasaliti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…