BAWACHA yadhihirisha kuwa ndio Taasisi bora kabisa ya wanawake barani Africa kwa sasa

BAWACHA yadhihirisha kuwa ndio Taasisi bora kabisa ya wanawake barani Africa kwa sasa

Naomba nikuulize samahani lakini picha ya kwanza anaechukua picha na simu huyo mwenye kitambaa cheupe na fulana ya mistari bluu ni wewe?
Wewe mtu wa ajabu sana, ina maana sura na umbo la shoga yako umelisahau. Au huwa unakumbuka watu wakati wa shida zako tu za kuomba moto na chumvi kwa jirani!!??

UWT sijui mkoje?
 
Wanajitahidi.

Keshokutwa wakijazana pale Kisutu na hizo sare zao itapendeza zaidi!

Nimewahi kusema cdm ni chama cha kizazi kipya, na ccm ni chama cha kizazi kilichopita. Hao cdm wanafanyiwa ukatili wote mwaka wa tano huu, na bado wana bashasha. Lakini ccm chama kinachoshinda kwa kupita bila kupingwa, na mbeleko ya vyombo vya dola lakini ukiwaona sura zimekunjana kutokana kulazimisha kukubalika. Cdm waendelee kushikilia hapo hapo na kupaza sauti ya madai ya tume huru ya uchaguzi, kwa hili utakuwa mwisho wa siasa chafu ndani ya nchi yetu.
 
Diamond Jubilee vs Mlimani city jamii imegawanywa na ikagawika kweli kweli.

God save us.
 
Mbowe ni mstaarabu aache kupotoshwa na kina lissu

Sent using Jamii Forums mobile app

Huna lolote, umepatwa na wivu maana umeanishwa kuwa cdm imekufa, lakini unachijionea huo wingi na huo mpangilio unakutisha, hivyo unampaka Mbowe mafuta kwa mgongo wa chupa ili uonekane Lissu ndio tatizo. Ukweli ni kuwa hata ccm watumie mbinu chafu kiasi gani hiyo cdm imekolea.
 
Pamoja na vigisu vya CCM,CHADEMA inapendwa sana kweli nimeamini upinzani upo kwenye mioyo ya watu,
 
Tunaomba mturushie thread ya UWT leo wakiadhimisha siku ya wanawake. Itapendeza sana kuwaona wamama wa nguvu wa chama dume a.k.a Chama tawala my CCM.
 
Hayo ni matokeo ya Utafiti wa Taasisi ipi??
 
Wakinamama wa chadema wana mvuto siyo kama mishangingi ya ccm yenyewe inafuata maslahi tu.
IMG-20180405-WA0006.jpeg
 
Hapa Mh Mbowe amepokelewa na umati mkubwa. Sura hii ilitegemewa wakati wa mikutano ya jimboni kwake. Lakini ilikuwa kinyume. Hata hivyo bado ana mtaji mkubwa akianza kuusuka sasa kupitia BAWACHA na BAVICHA.
 
Wakinamama wa chadema wana mvuto siyo kama mishangingi ya ccm yenyewe inafuata maslahi tu.
Wale wajinga kabisa ndio huwa wanatamka kuwa CHADEMA imekufa au inakaribia kufa.

Nguvu ya CHADEMA anaijua Magufuli. Na kwenye sherehe za CCM alisema kuwa CCM wakibweteka, hawataambulia kitu maana wapinzani japo hafanyi mikutano lakini wanafanya kazi. Wamebadilisha mbinu.

Kimuundo na kimikakati, CHADEMA kwa sasa ni imara kuliko ilivyokuwa. Imejengeka toka mashinani mpaka taifani. Zamani CHADEMA ilikuwa zaidi Taifani tu.

Mbatia ataumbuka sana maana hataweza kulitimiza alilowaahidi CCM.

Wanachama wa upinzani hawajabadilika kwa namna yoyote ile. CCM ilichofanikiwa ni kuwachukua wale wasio na itikadi wala wanachopigania, zaidi ya fedha na vyeo. Wale wenye imani, wamejengeka na kuwa imara zaidi.
 
Back
Top Bottom