BAWACHA yadhihirisha kuwa ndio Taasisi bora kabisa ya wanawake barani Africa kwa sasa

BAWACHA yadhihirisha kuwa ndio Taasisi bora kabisa ya wanawake barani Africa kwa sasa

Ukiangalia filam ya Yesu alivyokuwa akisumbuliwa na wakuu wa makuhani ndivyo watu walivyokuwa wanazidi kumuamini. Na mpaka leo anawafuasi hatari. Ile mbegu ilipandwa na maadui zake.

Nadhani chadema ndiyo ile ya Yesu mnazareti. Yuda amekuwa mbatia

Picture Ni ushahidi mzuri Sana

Hongereni Sana bawacha
IMG_20200308_142614.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bora Africa!! Mnajidanganya kwa faida ya nani wakuu?
 
Bora Africa!! Mnajidanganya kwa faida ya nani wakuu?
Sasa kama hutaki sisi tufanyeje ? tuwekee basi mauza uza ya UWT tuone , halafu utuambie huyu mamluki alifuata nini huku

RC wa Dar es salaam Paul Makonda akiwa katika viwanja vya Mlimani City  alipokwe ( 500 X 750 ).jpg
 
Bora Africa?! Kweli! Sawa nimekubali kama itakusaidia kulala usingizi mzuri.
usikubali kibwege , nitajie jumuiya nyingine ya wanawake iliyo bora kuliko hii , nakupa mwezi mzima uitafute hata kwa tochi
 
Ndio maana Sijawaona act na nccr kwenye huu mkutano.
Wale wajinga kabisa ndio huwa wanatamka kuwa CHADEMA imekufa au inakaribia kufa.

Nguvu ya CHADEMA anaijua Magufuli. Na kwenye sherehe za CCM alisema kuwa CCM wakibweteka, hawataambulia kitu maana wapinzani japo hafanyi mikutano lakini wanafanya kazi. Wamebadilisha mbinu.

Kimuundo na kimikakati, CHADEMA kwa sasa ni imara kuliko ilivyokuwa. Imejengeka toka mashinani mpaka taifani. Zamani CHADEMA ilikuwa zaidi Taifani tu.

Mbatia ataumbuka sana maana hataweza kulitimiza alilowaahidi CCM.

Wanachama wa upinzani hawajabadilika kwa namna yoyote ile. CCM ilichofanikiwa ni kuwachukua wale wasio na itikadi wala wanachopigania, zaidi ya fedha na vyeo. Wale wenye imani, wamejengeka na kuwa imara zaidi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
CHADEMA wana watu wabunifu wazuri. Sare zao, kila wanaoitoa huwa ni standard.

Kongamano naona limeandaliwa vizuri sana. Pamoja figisu zote, CHADEMA inaonekana ni imara zaidi.
Swadakta !
 
Ikumbukwe kwamba nchi hii kuna jumuiya zingine za wanawake zenye utulivu na zisizo na viongozi wenye kesi hata moja lakini zilizojaa viongozi vikongwe wasio na jipya na waliokosa maono , zimefunikwa vibaya mno na BAWACHA .
Mkuu ungetoa angalau mfano mmoja.
 
Back
Top Bottom