Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,982
- 51,157
Wewe mtu wa ajabu sana, ina maana sura na umbo la shoga yako umelisahau. Au huwa unakumbuka watu wakati wa shida zako tu za kuomba moto na chumvi kwa jirani!!??Naomba nikuulize samahani lakini picha ya kwanza anaechukua picha na simu huyo mwenye kitambaa cheupe na fulana ya mistari bluu ni wewe?
Wanajitahidi.
Keshokutwa wakijazana pale Kisutu na hizo sare zao itapendeza zaidi!
Wamependeza sana aisee
Mzee Mgaya! vipi hawa chadema.? tulidhani tumeisha waua kumbe hawajafa. Tumeisha tumia tshs. Tril1. Na bado miezi 7 uchaguzi, tufanyeje?? Ile plan B ya kumtumia Mbatia na Lipumba itatusaidia ?Wanajitahidi.
Keshokutwa wakijazana pale Kisutu na hizo sare zao itapendeza zaidi!
Naona umetengeneza standard counter attack post maana hii ni mara ya pili nimemuona leo. Kazi ipoWewe utakuwa ni new member , unapost vitu ambavyo watu washajadili wakachoka wakaamua kuunga juhudi
Wakinamama wa chadema wana mvuto siyo kama mishangingi ya ccm yenyewe inafuata maslahi tu.
Kumbe sio pekeyangu nilieshangazwa !pamoja na vigisu vya ccm chadema inapendwa sana kweli nimeamini upinzani upo kwenye mioyo ya watu,
Chadema ni mpango wa Mungu
Wale wajinga kabisa ndio huwa wanatamka kuwa CHADEMA imekufa au inakaribia kufa.Wakinamama wa chadema wana mvuto siyo kama mishangingi ya ccm yenyewe inafuata maslahi tu.