BAWACHA yadhihirisha kuwa ndio Taasisi bora kabisa ya wanawake barani Africa kwa sasa

Daah mkuu hauna link ya video? Angalau hawa unaweza kusikiliza sauti zao sio wale makasuku
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Safi sana chama ni watu na tunaona kwa macho yetu wengi wamevutika na kuamini hoja zetu kuhusu Maendeleo ya Watu yaende sawia na Maendeleo ya Vitu bila kusahau Haki na Demokrasia.

March 8, 2020
Mkutano wa Baraza la Wanawake CHADEMA


Source: Chadema Media TV
 
Joined yesterday !
Ngoja nikwambie.
Hakuna 'promotion' kubwa ya chama zaidi ya mwonekano huo wa hizo picha, na hasa..., unajua wapi? Vijijini/mitaani; hata kushinda mikutano ya hadhara iliyozuiwa msiifanye.

Sasa nakuuliza: mnahakikisha vipi kwamba mwanamke wa kule kijijini ndani ndani kabisa muonekano kama huu wa chama anaupata?
Hili ndilo swali langu mhimu sana kwako leo.

Nimerudi kwa sababu nimekumbuka kitu:
Kuna picha ya akina mama wa CHADEMA (wakivamia?) mkusanyiko wa wanawake wa CCM kule Chato. Iliwahi kuwekwa humu JF.
Ile picha kama unayo maktaba, iweke hapa. ni picha nzuri sana ikiendana na hizi hapa.
 
Nitaitafuta picha ile nimeikumbuka , lakini unapaswa kutambua kwamba hao wakina mama wa chadema zaidi ya nusu wanatoka vijijini , chadema inaongoza zaidi vijijini kuliko mjini , achana na propaganda zao

Bila polisi ccm haiwezi kushinda uchaguzi popote pale
 
Hapo utaona maagizo ya kuwafanyia cdm figisu ili kuhadaa umma kuwa cdm inakufa.
Mkuu siyo kwamba mimi nawachukia CHADEMA yale yalikuwa maoni yangu kwanza nina kadi ya CHADEMA nimeiichukua a month ago yani mimi ni mtu ninayependa kuwa huru napiga kote kote
 
Mkuu siyo kwamba mimi nawachukia CHADEMA yale yalikuwa maoni yangu kwanza nina kadi ya CHADEMA nimeiichukua a month ago yani mimi ni mtu ninayependa kuwa huru napiga kote kote

Mkuu sina tatizo na mtazamo wako na kile unachokiamini, tatizo langu ni upotoshaji. Mimi sio mwanachama wa cdm, bali ni shabiki wa kutupwa wa cdm na niko huru. Ninapoona upotoshaji wowote dhidi ya cdm sina budi kuupinga kwa nguvu zangu zote fullstop.
 
Haisaidii kuombea baya kwa mwingine. Ni dalili ya mtu Zoba kwani hakuna kipato hata cha mmoja wapo kitakuja kwako.
Hivi wewe ukisikia mtu anawaombea wenzako wadunguliwe utajisikiaje na wazo la kijinga kama hilo?

Sent using Jamii Forums mobile app
Comment yako imekaa kimbegembege bwashee....... Wadunguliwe na nani na kwa sababu gani?
 
Natamani kusikia Lwaitama kaongea nini leo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…