BAWACHA yadhihirisha kuwa ndio Taasisi bora kabisa ya wanawake barani Africa kwa sasa

Sasa hii mada ama michambo?
 
Ukiangalia filam ya Yesu alivyokuwa akisumbuliwa na wakuu wa makuhani ndivyo watu walivyokuwa wanazidi kumuamini. Na mpaka leo anawafuasi hatari. Ile mbegu ilipandwa na maadui zake.

Nadhani chadema ndiyo ile ya Yesu mnazareti. Yuda amekuwa mbatia

Picture Ni ushahidi mzuri Sana

Hongereni Sana bawacha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bora Africa!! Mnajidanganya kwa faida ya nani wakuu?
 
Bora Africa!! Mnajidanganya kwa faida ya nani wakuu?
Sasa kama hutaki sisi tufanyeje ? tuwekee basi mauza uza ya UWT tuone , halafu utuambie huyu mamluki alifuata nini huku

 
Bora Africa?! Kweli! Sawa nimekubali kama itakusaidia kulala usingizi mzuri.
usikubali kibwege , nitajie jumuiya nyingine ya wanawake iliyo bora kuliko hii , nakupa mwezi mzima uitafute hata kwa tochi
 
Ndio maana Sijawaona act na nccr kwenye huu mkutano.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
CHADEMA wana watu wabunifu wazuri. Sare zao, kila wanaoitoa huwa ni standard.

Kongamano naona limeandaliwa vizuri sana. Pamoja figisu zote, CHADEMA inaonekana ni imara zaidi.
Swadakta !
 
Ikumbukwe kwamba nchi hii kuna jumuiya zingine za wanawake zenye utulivu na zisizo na viongozi wenye kesi hata moja lakini zilizojaa viongozi vikongwe wasio na jipya na waliokosa maono , zimefunikwa vibaya mno na BAWACHA .
Mkuu ungetoa angalau mfano mmoja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…