View attachment 3452694
Swali gumu la BAWACHA kwa Polepole, "Tutajie pia waliompiga Lissu risasi, tunakushukuru kwa mambo mengi unayotuambia"
AiseeView attachment 3452694
Swali gumu la BAWACHA kwa Polepole, "Tutajie pia waliompiga Lissu risasi, tunakushukuru kwa mambo mengi unayotuambia"
huyu mwanamke kachemka. Kwani Polepole ni polisi au chombo cha uchunguzi???. Yeye anaeleza anayoyajua na aliyoshuhudia.View attachment 3452694
Swali gumu la BAWACHA kwa Polepole, "Tutajie pia waliompiga Lissu risasi, tunakushukuru kwa mambo mengi unayotuambia"
Kama wapo waambie wasichelewe sana. Tunaingia kwenye dakika za majeruhi wakati huu.hii unayosema hapa, nimeisikia pia leo kwa wale wanyetishaji wa "za ndaaaaaani" kabisa!
Hilo janajike hata mimi limeniudhi sana...huyu mwanamke kachemka. Kwani Polepole ni polisi au chombo cha uchunguzi???. Yeye anaeleza anayoyajua na aliyoshuhudia.
Ubinafsi na unafiki uliotopea kwa watanzania hadi anakera. Mtu kaamua kuwaunga mkono tena kapata uungwaji mkubwa wa hoja na wananchi kuliko nyie na kwa kiasi kikubwa anaungana na nyie indirect na kuwapa hoja za kusimama nazo na kuwaeleza watanzania. Nyie mnatoka hadharani kumkejeli. Ni upumbavu uliozidi viwango vya rami. Mnataka asiseme ukweli au mnamfundisha namna ya kusema ukweli??
Badala ya Bavicha kuhoji hilo au kuunga mkono hoja hii na kuipa nguvu zaidi. Wanatoka hadharani kumkejeri Polepole. Ni upumbavu kabisa.Mla mla leo mla jana kala nini? Na ndiyo maana Polepole katanguliza kuomba msamaha hadharani kwa kushiriki kwake mambo ambayo hayafai - katubu na tumemkubalia.
Kwa sasa HOJA mezani ni nani na kwa
nini database 3 zinasomana?? Ya CCM, NEC na NIDA. Na je tushukue hatua gani kabla ya tarehe 20 Oct.
Tuangalie tunachomokaje hapa tulipo na hii ndiyo hoja iliyo mbele yetu.
Mnatia huruma hivi sasa...Sasa huyu ndio anasema kitu ambacho hata Heche aliogopa kusema. Wasemee na lang Ben Saanane.
Pole pole alikuwa sehemu ya kikosi kilichosimamia uhalifu wa Dodoma.
Mapumbavu mengine ya chadema yanashindwa kum-fix yanabaki kushangilia siasa nyepesi
Sijui liko kwenye siku zake au halijatiwa siku nyingi. Maana mengi ni manungayembe.Hilo janajike hata mimi limeniudhi sana...
Huu sio muda wa kufanya siasa za mabishano na mipasho..
Huu ni muda wa kuungana kwa nguvu moja na kumpiga muovu.. muda wa kulikomboa taifa dhidi ya wahuni ambao ni chanzo cha shida zote tulizonazo kama nchi...
Itakuwa kishanunuliwa. Siyo mzanzibari huyo? Maana wazanzibari wote wanamuunga mkono mzanzibari mwanamke anayeitawala nchi jirani.Lile limwanamke halina akili. Ndo maana kuongozwa na mwanamke ni shida. Huwa yanaropoka tu.
Ukute hapo linaongea hadi matako yamelowana.
Nimewaza hili piaSlow slow yupo makini sana katika kulipua mabomu yake, Upande wa Jiwez hataugusa sana maana huko ndiko alikopewa shavu.
Ilo ni swali la kujibiwa na Serikali iliyopo madarakani na sio HP ,alipaswa aihoji Serikali maana kiongozi mkuu ni yule yule aliekuwa ni makamu nyakati tukio linatokea na uyo uyo ndie aliye kuwa akimtembelea TAL ktk nyakati tofauti akiwa ni kiongozi wa juu wa Serikali.View attachment 3452694
Swali gumu la BAWACHA kwa Polepole, "Tutajie pia waliompiga Lissu risasi, tunakushukuru kwa mambo mengi unayotuambia"
Na huko ndiyo chanzo cha yote haya tunayoyalalamikia kuhusu Reforms. Na aliyeharibu demokrasia na kutufikisha hapa pa NRNE ni nani? Aliyeharibu Mahakama zetu ni nani? Aliyetisha vyombo vya habari ni nani? Aliyeiba uchaguzi wa 2019 na wa 2020 wote ni nani?Slow slow yupo makini sana katika kulipua mabomu yake, Upande wa Jiwez hataugusa sana maana huko ndiko alikopewa shavu.