Slow slow yupo makini sana katika kulipua mabomu yake, Upande wa Jiwez hataugusa sana maana huko ndiko alikopewa shavu.
Hili mama jinga kweli.....kwani Polepole alikuwepo wakati lisu anapigwa risasiView attachment 3452694
Swali gumu la BAWACHA kwa Polepole, "Tutajie pia waliompiga Lissu risasi, tunakushukuru kwa mambo mengi unayotuambia"
Sawa mkuuLabda dunia ya kwenu huko Mpanda
Anamsaidia wanayechamba naye wima.Damu nzito kuliko maji, utakuwa umenielewa mzee.
Bawacha kutoka kisiwandui au mchambawima
Ni mzenji sijui kutoka mchambawimaItakuwa kishanunuliwa. Siyo mzanzibari huyo? Maana wazanzibari wote wanamuunga mkono mzanzibari mwanamke anayeitawala nchi jirani.
ππ Kwamba ni masalia ya Mbowe?Mdee ni bora mara elfu kuliko huyu.
Huyu ni zile safu alizopanga mbowe kuelekea uchaguzi wa mwenyekiti taifa.
Yes.ππ Kwamba ni masalia ya Mbowe?
Na wewe tueleze kwanza jinsi ulivyoanza ushoga hadi leo unafilwa. Naona nyege za matakoni zimekuzidi.Wapumbavu ni wale wanaomuunga mkono Polepole ambaye alikuwa kwenye top 5 ya Magufuli iliyoharibu demokrasia ya vyama vingi, iliyobana uhuru wa maoni, iliyoleta Bunge kibogoyo etc.
Angeanza kwa mpangilio. Atueleze waliopanga na kumshambulia Tundu Lissu, kisha aje na namna walivyomkamata Ben Saanane na kumuua na walikomzika. Angeendeleza na walivyo mteka MoDewji na @Roma_Mkatoliki. Baada ya hayo na mengine mengi ndiyo angekuja sasa na awamu ya Samia
Dawa ya uovu ni kulipa hayo maovu aliyoyatenda.Ameomba msamaha kwa kuyasema yote mabaya waliofanya?, Hivi ndugu wa akina Ben saa 8, Rwanda na wengineo wanamuelewa?, baada ya kupambania Tanzania kama nchi, anapambania CCM yake iliyojaa uozo miaka dahali...
Huko kote tutafika , Bro huyu jamaa Polepole na wenzake wamejipanga siyo kitoto .Kwani na aliyemuua Mzee Mohamed Ki... Ametajwa? Wanatakiwa wengi watajwe na waliomuua Ben, Mdude
Kwani Samia amekuwa mkosoaji wa serikali ya CCM?Mwambieni naye Sa100 awataje si alikuwa makamu wa raisi
Hivi ndivyo inavyopaswa kuwa. Sio kila wakati kuwalalamikia Chaumma na ACT-WAZALENDO. Na hii ni criticism kwa wale Chadema ambao wana amini Polepole yuko kwao.View attachment 3452694
Swali gumu la BAWACHA kwa Polepole, "Tutajie pia waliompiga Lissu risasi, tunakushukuru kwa mambo mengi unayotuambia"
Hata Boni na Sugu walikuwa Team Mbowe. Nao huwaamini? Kama nao hamuwaamini, mtabaki na nani?Mdee ni bora mara elfu kuliko huyu.
Huyu ni zile safu alizopanga mbowe kuelekea uchaguzi wa mwenyekiti taifa.
Alikuwa wapi?Hili mama jinga kweli.....kwani Polepole alikuwepo wakati lisu anapigwa risasi
Tactics za kijinga unazotumia ku'deflect' mijadala inayomhusu Samia sasa imejulikana wazi. Huna tofauti yoyote na hao wengine; akina Tlaatlaah ambao kazi zao zilijulikana mapema. Wewe uliweza kujificha, lakini sasa umejiweka wazi zaidi.Mbona unakuja personal ndugu! Mimi nimeleta tu ujumbe wa BAWACHA. Tujikite hapo