Sijasema uwe na akili kama zangu, na huko nyuma tulipokuwa tukijadili maswala ya nchi yetu tukitofautiana sikukutaka uwe 'kalamu'; ila sasa ni wazi wewe ni mmoja wa watu hatari, adui mkubwa wa nchi yetu. Kwa watu wa aina hiyo sina mipaka ya kuwananga.Hatuwezi wote kuwa na akili kama ya kwako kwa vile mimi siyo Kalamu bali ni Stuxnet.
Hii ni nchi huru ambayo Katiba yake inatambua uhuru wa maoni na pia JF ni Jukwaa huru. Sina haja ya ku comment kukuridhisha wewe kwa kuwa mimi ni independent person siyo bendera fuata upepo.
😄Anamsaidia wanayechamba naye wima.
Mla mla leo mla jana kala nini? Na ndiyo maana Polepole katanguliza kuomba msamaha hadharani kwa kushiriki kwake mambo ambayo hayafai - katubu na tumemkubalia.
Kwa sasa HOJA mezani ni nani na kwa
nini database 3 zinasomana?? Ya CCM, NEC na NIDA. Na je tushukue hatua gani kabla ya tarehe 20 Oct.
Tuangalie tunachomokaje hapa tulipo na hii ndiyo hoja iliyo mbele yetu.
Kwa hiyo hata mama yako hana akili sioLile limwanamke halina akili. Ndo maana kuongozwa na mwanamke ni shida. Huwa yanaropoka tu.
Ukute hapo linaongea hadi matako yamelowana.
Alikuwepo kwenye huo utawalaHili mama jinga kweli.....kwani Polepole alikuwepo wakati lisu anapigwa risasi
Next, Hilo jimama litataka polepole aeleze kwanini project nusu mkate ya mbowe ili-fail.Hata Boni na Sugu walikuwa Team Mbowe. Nao huwaamini? Kama nao hamuwaamini, mtabaki na nani?
Amandla...
Hakuwa waziri mwenye dhamana ya Usalama.Mkuu wewe ni mtu wa JF kweli? Hujui Polepole alikuwa na nafasi gani wakati wa Magufuli?
Na wengine wanahama chama kwa kupewa hongo bila kujali roho za watu waliokufa wakipigania chamaKwenye hili, nimekuwa na mashaka ya siku myingi sana ndani ya chama changu cha Chadema
Kama tu chama kinaweza kuwa na viongozi mamluki wa CCM kwa kupewa kitu kidogo kukihujumu chama?
Hata hili la kuhujumiana wao kwa wao kwa kupewa kitu kidogo inawezekana kabisa kwa hao waliokuwa mamluki kutoka ccm
Siamini kilichotokea huku mwiahoni mwishoni kisa tu mtu kapigwa chini uongozini ati anaamua kumyuti utazani hakuwahi kuwa kiongozi wa wa juu kabisa kwenye chama
Hapo kabla mlidai ni kazi ya ndani ya chama chake, mkadai amlete dereva wake. Sasa mwasema Polepole alikuwa front squad......Sasa huyu ndio anasema kitu ambacho hata Heche aliogopa kusema. Wasemee na lang Ben Saanane.
Pole pole alikuwa sehemu ya kikosi kilichosimamia uhalifu wa Dodoma.
Mapumbavu mengine ya chadema yanashindwa kum-fix yanabaki kushangilia siasa nyepesi
Utajidhalau mwenyewe Kampeni zikianza Unaongelea CCM kijana sio chama cha upinzani!!Huko kote tutafika , Bro huyu jamaa Polepole na wenzake wamejipanga siyo kitoto .
Huu mwaka kwa mara ya kwanza tutashihudia akigoma kwenda kufanya campaign nyie tulieni .
Hivi unadhani akatajwa aliyemuua Mdude na aliyewatuma na ushahidi wote ukawekwa hadharani Sa100 atathubutu kutia mguu Mbeya?
Hivi unadhani akatajwa aliyetoa oda ya kifo cha Mzee Ally Kibao na akaambatanisha na ushahidi usiyo na shaka unadhani campaign Tanga zitafanyika ?
Ngoma bado mbichi sana hii bro
Hapana hiyo ni user ID bandiaMimi ni Stuxnet
Mbona wanajulikana, polisi waligoma kuchukua hatua sasa huyo anao uwezo gani wa kuchukua hatua?View attachment 3452694
Swali gumu la BAWACHA kwa Polepole, "Tutajie pia waliompiga Lissu risasi, tunakushukuru kwa mambo mengi unayotuambia"
Kwani ili fail?Next, Hilo jimama litataka polepole aeleze kwanini project nusu mkate ya mbowe ili-fail.
Hopeless kabisa.
Nani kasema hilo? Polepole? Kama kasema weka ushahidi wa picha sauti hapaMbona Hilo kasema muda mrefu.kasema aliyempiga risasi ni msaidizi mkuu wa JPM wa kipindi hicho.Na msaidizi mkuu anajulikana na Kwa Sasa ana nafasi ya juu kabisa
Mbeya ipi inaiongelea? Mdude alikuwa maarufu Vwawa wilaya ya Mbozi mkoa wa Songwe. Ni hao CDM wachache wa Mbeya ndiyo wanamtambua kama Kamanda wao. Acha kutoa mikwara mbuzi hapaHuko kote tutafika , Bro huyu jamaa Polepole na wenzake wamejipanga siyo kitoto .
Huu mwaka kwa mara ya kwanza tutashihudia akigoma kwenda kufanya campaign nyie tulieni .
Hivi unadhani akatajwa aliyemuua Mdude na aliyewatuma na ushahidi wote ukawekwa hadharani Sa100 atathubutu kutia mguu Mbeya?
Hivi unadhani akatajwa aliyetoa oda ya kifo cha Mzee Ally Kibao na akaambatanisha na ushahidi usiyo na shaka unadhani campaign Tanga zitafanyika ?
Ngoma bado mbichi sana hii bro