Samia Suluhu Hassan si unaye hapo kila siku; hata siku moja hujawahi kumuuliza akufahamishe ilivyokuwa?Tunataka alitolee tamko tu kwa kuwa yeye alikuwa ndiye mmoja wa top operative wa team Magufuli pamoja na Makonda
mbona unashobokea wanaume wenzako kiasi hichiWewe nenda Mirembe ukapime afya ya akili. Unaijua theory of relativity wewe? Acha dharau za kibwege
Mtachanganyikiwa sana mwaka huu.Samia Suluhu Hassan si unaye hapo kila siku; hata siku moja hujawahi kumuuliza akufahamishe ilivyokuwa?
Acha Polepole atufahamishe anayo yafahamu vizuri yeye.
Huyo mama wa CHADEMA uliye mweka hapo naye ni mtu kutoka huko kwenu kama yule Makamu Mwenyekiti mwenye kesi mahakamani?
Hata aibu hamna kabisa nyinyi watu?
Hii ni namna ulivyolelewa familia yako nzima mpo hivi kazi kweli kweli
Na huyo ndiyo chanzo cha yote haya tunayoyalalamikia kuhusu Reforms. Na aliyeharibu demokrasia na kutufikisha hapa pa NRNE ni nani? Aliyeharibu Mahakama zetu ni nani? Aliyetisha vyombo vya habari ni nani? Aliyeiba uchaguzi wa 2019 na wa 2020 wote ni nani?Naona ameamua kuzunguka Mbuyu Ila watanzania Wanamsubiri kwa hamu Sana , amtaje aliyehusika na kupigwa risasi kwa Lissu.
Chadema ndo maana wanaitwa Nyumbu mkuu wao wabakuambia huyu ndo mkombozi wao.Na huyo ndiyo chanzo cha yote haya tunayoyalalamikia kuhusu Reforms. Na aliyeharibu demokrasia na kutufikisha hapa pa NRNE ni nani? Aliyeharibu Mahakama zetu ni nani? Aliyetisha vyombo vya habari ni nani? Aliyeiba uchaguzi wa 2019 na wa 2020 wote ni nani?
Aliyeanza kuteka na kuua wakosoaji
Na huyo ndiyo chanzo cha yote haya tunayoyalalamikia kuhusu Reforms. Na aliyeharibu demokrasia na kutufikisha hapa pa NRNE ni nani? Aliyeharibu Mahakama zetu ni nani? Aliyetisha vyombo vya habari ni nani? Aliyeiba uchaguzi wa 2019 na wa 2020 wote ni nani?
Aliyeanza kuteka na kuua wakosoaji
Manadhi ndio mtatutoa kwenye reli kwa kututajia habari za Lisu? Kila siku tumekuwa tukisema Magufuli ndio aliagiza Lisu apigwe risasi, na Magufuli alifanya uchafu mwingi sana. Ila huyo Magufuli naye ameuwawa na utawala wa sasa pamoja na genge lake la wanamtandao. Mnadhani tukiamini asemayo Polepole sasa ndio tunamuona Magufuli alikuwa mzuri? Ni kipi kimebadilika sasa chini ya utawala huu ukifananisha na wa Magufuli?Chadema ndo maana wanaitwa Nyumbu mkuu wao wabakuambia huyu ndo mkombozi wao.
Nyie ndo maana mnaitwa Nyumbu hamtumii Akili kufikiriManadhi ndio mtatutoa kwenye reli kwa kututajia habari za Lisu? Kila siku tumekuwa tukisema Magufuli ndio aliagiza Lisu apigwe risasi, na Magufuli alifanya uchafu mwingi sana. Ila huyo Magufuli naye ameuwawa na utawala wa sasa pamoja na genge lake la wanamtandao. Mnadhani tukiamini asemayo Polepole sasa ndio tunamuona Magufuli alikuwa mzuri? Ni kipi kimebadilika sasa chini ya utawala huu ukifananisha na wa Magufuli?
Nyumbu ni ccm kwani huko ccm mpo wengi mazuzu kama nyumbu walivyozubaa mbugani, Rostam anaifirisi Nchi mpo kimyaChadema ndo maana wanaitwa Nyumbu mkuu wao wabakuambia huyu ndo mkombozi wao.
Kama huwezi kuona tofauti ya utawala huu dhidi ya utawala wa Magufuli basi una matatizo ya upofu, na upofu hauna dawa. Sanasana utapewa fimbo nyeupe ikusaidieManadhi ndio mtatutoa kwenye reli kwa kututajia habari za Lisu? Kila siku tumekuwa tukisema Magufuli ndio aliagiza Lisu apigwe risasi, na Magufuli alifanya uchafu mwingi sana. Ila huyo Magufuli naye ameuwawa na utawala wa sasa pamoja na genge lake la wanamtandao. Mnadhani tukiamini asemayo Polepole sasa ndio tunamuona Magufuli alikuwa mzuri? Ni kipi kimebadilika sasa chini ya utawala huu ukifananisha na wa Magufuli?
Nyumbu =Chadema.Nyumbu ni ccm kwani huko ccm mpo wengi mazuzu kama nyumbu walivyozubaa mbugani, Rostam anaifirisi Nchi mpo kimya
Nyumbu ni ccm kukumbatia wezi wa Rasilimali za Nchi na wajinga wajinga akina Zito chawa wa mwizi Rostam AzizNyie ndo maana mnaitwa Nyumbu hamtumii Akili kufikiri
Lissu mwenyewe katumika Sana na ccm na bado wakataka kumuuaNyumbu ni ccm kukumbatia wezi wa Rasilimali za Nchi na wajinga wajinga akina Zito chawa wa mwizi Rostam Aziz
Unyumbu ni kuwa chawa wa wezi wa Rasilimali za Nchi usitoe Data ukalazimisha ibilisi wa ccm mjitoe kwenye unyumbu, nyie ndiyo nyumbu wakubwa Nchi inaibiwa kila kitu mpo mnakesha na uchawa tu hakuna wa kumkemea mwizi Rostam Aziz na wenzakeNyumbu =Chadema.
Rostam Aziz ndiyo mtesi wa Lisu akishirikiana na mbowe na ibilisi wengine wa ccmLissu mwenyewe katumika Sana na ccm na bado wakataka kumuua