Bayern Munich yamsimamisha kazi kwa muda Sadio Mane kwa kumpiga Leroy Sane

Bayern Munich yamsimamisha kazi kwa muda Sadio Mane kwa kumpiga Leroy Sane

Mwenye kosa hapa ni Sane na lipo wazi semaa ujerumani wake umemlinda... Mané ni mpole na inafahamika hanaga shida tena mwezi huu mtukufu
Kwa hiyo mkuu wewe unaujua ukweli kuliko wenye timu yao?
 
Sane alimtukana mane " black as shit" sema media za ujerumani haziwezi kumsema sane.
Ila bora alipigwa sijui kamwambiaje baby wake
Mkuu hebu weka hiyo video clip inayoonyesha akimtukana.
 
Mwenye akili anaujua mtego wa Yanga,ukiwa na akili za kishabiki huwezi kuelewa
Hakuna cha Akili Wala nini. Wana act unafiki tu.. Kama mchezaji amemisbehave si mumpe adhabu bas Kama mnaweza.. hawawez coz wanajua watanasa kwenye mtego mwingne.. after all ka million 4, kanashida Gani??
 
Kwamba yule Jasmine ndiyo anaakili kwamba mchezaji hata akisaini mkataba leo kesho anaweza kuvunja bila hata sababu ya msingi? Mpira ungekuwa hivyo ingekuwa fujo.............. endeleeni kumdanganya Fei toto na kumjaza bichwa
 
Back
Top Bottom