Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KWa nini uwalipe mara mbili?
Kwa sababu gani?
Unazo risit za bank ukizowalipa mara ya kwanza?
Kama unazo hizo hizo unaenda nazo
Umeonaeee...wasomi wetu hawa..na hata risiti hakupewaKasema aliwalipa kwa cash.. Sasa sijui toka lini mkopo unalipwa mkononi.
Ndo walimu wetu hawa!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hukumwelewa alimaanisha alilipa deni lote cash sio alibeba hela akawapelekeaKasema aliwalipa kwa cash.. Sasa sijui toka lini mkopo unalipwa mkononi.
Ndo walimu wetu hawa!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi mwl Kaijage alipotelea wapi!,Kasema aliwalipa kwa cash.. Sasa sijui toka lini mkopo unalipwa mkononi.
Ndo walimu wetu hawa!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hizi habari kumbe ni za kweli?Kampuni ya mama Ana Mkapa.
Alikuwa anawalipa cash babaKWa nini uwalipe mara mbili?
Kwa sababu gani?
Unazo risit za bank ukizowalipa mara ya kwanza?
Kama unazo hizo hizo unaenda nazo
Mkuu ulikuwa umekunywa pombe gani mpaka ukawalipa pesa cash wakati wao mkopo walikupa kupitia account ya bank
SACCOS na Vikundi ni njia rahisi zaidi ya kusaidiana kwa watu wa kipato cha chini.Ndugu Watanzania wenzangu ni nani anayeilinda kampuni ya Bayport Financial services. Taasisi hii imelalamikiwa muda mrefu mpaka malalamiko kutinga bungeni lakini bado ipo na inawaibia, kuwadhulumu watanzania hasa walimu wa nchi hii. Mimi ni mwalimu niko mkoa wa Simiyu wilaya ya Itilima niliwahi kuchukua mkopo kutoka kwao.
Baada ya kuona katika makato yao mwisho wa siku unakatwa hadi zaidi ya mara 5 ya mkopo uliouchukuwa mwaka juzi (2018) niliamua kuuuza mkopo wangu benki ya NMB. Baada ya hapo nililipa deni lao kama walivyonipigia hesabu zao. niliwalipa kwa cash ofisini kwao. Baada ya hapo sikuona makato yao kwa miezi 6 kwani nilishawalipa.
Cha kushangaza baada ya miezi 6 walianza tena kunikata tena kiwango kikubwa kuliko kile cha awali. Nikaenda kuwaona katika branch yao iliyoko Bariadi Mjini. Kufika pale kwanza sikuwakuta wale loan officers walionihudumia wakati nalipa deni lao, kuwauliza waliniambia wameacha kazi na wamewaibia wateja wetu.
Baada ya kuwaeleza kwamba nilishawalipa mbona bado wananikata? jibu lao ni kuwa wao hawana taarifa yoyote walichogundua ni kuwa mimi sikuwapelekea marejesho kwa muda wa miezi hiyo 6 ndiyo maana makato mapya ni makubwa kuliko ya awali.
Kwa kweli Watanzania wenzangu niliondoka bila kuweza kufanya chochote na waliendelea kunikata upya mkopo hewa maana nilishawalipa, ila kwa kuwa hawakunipatia risiti na fomu ya ku-clear mkopo nikawa sina cha kufanya.
Mwaka huu mwanzoni nikawaenedea tena nikitaka kuachana nao wanipe mahesabu yao ya mkopo hewa nikauuze tena NMB ila sasa kwa kufuata taratibu zote ikiwa ni pamoja na kuwaomba NMB Bank wafanye transfer moja kwa moja kwenda akaunti ya Bayport na kunipatia risiti inayoonesha sababu za kufanya hiyo transfer. Baada ya NMB Bank kuwalipa niliwapelekea risiti ili wanipatie fomu ya ku-clear mkopo wao na then nimpelekee mwajiri wangu ambaye ni Halmashauri ya Wilaya ya Itilima ili asimamishe makato ya Bayport na kuingiza makato mapya ya NMB.
Kimbembe sasa ni kupewa hako ka-fomu, mpaka sasa hivi ninavyoandika sijapewa hiyo fomu na NMB imeizuia akaunti yangu siwezi kufanya muamala wowote mpaka niwapelekee hiyo fomu. Nimeenda ofisi yao ya Bariadi mara nyingi nimeshamaliza hela sana kufuatilia, kuna mdada pale ana nyodo, dharau isiyopimika. Kila ukienda ananiambia fomu haijatumwa kutoka makao makuu ambayo yako Mwanza, ukiwapigia makao makuu wanakuambia nenda kwenye branch, huyo Branch Manager hata simu mara nyingi hapokei, ukioenda ofisini anaweza hata akakuacha ofisini anatoka.
Yule Branch Manager ni wazi anajenga mazingira ya rushwa na kwa vyovyote vile anataka aendelee tena kunikata pamoja na kwamba nimewalipa mara 2 bila uhalali wowote.
Sasa naomba mamlaka zinazohusika zinisaidie watoto wangu wafa njaa, akaunti imefungwa nitakatwa tena mara ya 3. Mheshimiwa Rais najua uko popote ndani ya nchi hii naomba utusaidie dhidi ya huyu jambazi katili. Taasisi hii haiogopi chombo chochote cha dola wala cha kisheria sijui nani anakilinda. Tusaidie baba Rais hakuna mwingine anayewaweza hawa tatu.
Ndugu Watanzania wenzangu ni nani anayeilinda kampuni ya Bayport Financial services. Taasisi hii imelalamikiwa muda mrefu mpaka malalamiko kutinga bungeni lakini bado ipo na inawaibia, kuwadhulumu watanzania hasa walimu wa nchi hii. Mimi ni mwalimu niko mkoa wa Simiyu wilaya ya Itilima niliwahi kuchukua mkopo kutoka kwao.
Baada ya kuona katika makato yao mwisho wa siku unakatwa hadi zaidi ya mara 5 ya mkopo uliouchukuwa mwaka juzi (2018) niliamua kuuuza mkopo wangu benki ya NMB. Baada ya hapo nililipa deni lao kama walivyonipigia hesabu zao. niliwalipa kwa cash ofisini kwao. Baada ya hapo sikuona makato yao kwa miezi 6 kwani nilishawalipa.
Cha kushangaza baada ya miezi 6 walianza tena kunikata tena kiwango kikubwa kuliko kile cha awali. Nikaenda kuwaona katika branch yao iliyoko Bariadi Mjini. Kufika pale kwanza sikuwakuta wale loan officers walionihudumia wakati nalipa deni lao, kuwauliza waliniambia wameacha kazi na wamewaibia wateja wetu.
Baada ya kuwaeleza kwamba nilishawalipa mbona bado wananikata? jibu lao ni kuwa wao hawana taarifa yoyote walichogundua ni kuwa mimi sikuwapelekea marejesho kwa muda wa miezi hiyo 6 ndiyo maana makato mapya ni makubwa kuliko ya awali.
Kwa kweli Watanzania wenzangu niliondoka bila kuweza kufanya chochote na waliendelea kunikata upya mkopo hewa maana nilishawalipa, ila kwa kuwa hawakunipatia risiti na fomu ya ku-clear mkopo nikawa sina cha kufanya.
Mwaka huu mwanzoni nikawaenedea tena nikitaka kuachana nao wanipe mahesabu yao ya mkopo hewa nikauuze tena NMB ila sasa kwa kufuata taratibu zote ikiwa ni pamoja na kuwaomba NMB Bank wafanye transfer moja kwa moja kwenda akaunti ya Bayport na kunipatia risiti inayoonesha sababu za kufanya hiyo transfer. Baada ya NMB Bank kuwalipa niliwapelekea risiti ili wanipatie fomu ya ku-clear mkopo wao na then nimpelekee mwajiri wangu ambaye ni Halmashauri ya Wilaya ya Itilima ili asimamishe makato ya Bayport na kuingiza makato mapya ya NMB.
Kimbembe sasa ni kupewa hako ka-fomu, mpaka sasa hivi ninavyoandika sijapewa hiyo fomu na NMB imeizuia akaunti yangu siwezi kufanya muamala wowote mpaka niwapelekee hiyo fomu. Nimeenda ofisi yao ya Bariadi mara nyingi nimeshamaliza hela sana kufuatilia, kuna mdada pale ana nyodo, dharau isiyopimika. Kila ukienda ananiambia fomu haijatumwa kutoka makao makuu ambayo yako Mwanza, ukiwapigia makao makuu wanakuambia nenda kwenye branch, huyo Branch Manager hata simu mara nyingi hapokei, ukioenda ofisini anaweza hata akakuacha ofisini anatoka.
Yule Branch Manager ni wazi anajenga mazingira ya rushwa na kwa vyovyote vile anataka aendelee tena kunikata pamoja na kwamba nimewalipa mara 2 bila uhalali wowote.
Sasa naomba mamlaka zinazohusika zinisaidie watoto wangu wafa njaa, akaunti imefungwa nitakatwa tena mara ya 3. Mheshimiwa Rais najua uko popote ndani ya nchi hii naomba utusaidie dhidi ya huyu jambazi katili. Taasisi hii haiogopi chombo chochote cha dola wala cha kisheria sijui nani anakilinda. Tusaidie baba Rais hakuna mwingine anayewaweza hawa tatu.
NakaziaPole sana, hili mbona halimhitaji hata RC? Usiende kinyonge tena, nenda kalianzishe vizuri tu, watakupatia! Acha kulalamika na kuwa mpole, enzi za kuwa mpole zimeshapita! Ukiwa hivyo utapandiwa kichwani hadi unaingia kaburini. Kapigwe mkwara wa kufa MTU.
Kitochi Original