Bayport: Majambazi yanayolindwa na Serikali?

Eeeeee mola watanzania nani alituloga kwa kiwango hiki? Unasema mdada ana nyodo? nakuhakikishia ningeshambeba na hicho kiti na kumtupa nje na nikikalie mimi tena kwa uhakika.

Huo unyonge wa haki yako unaupata wapi, unalipa je hela mara mbili? nadhani wameona udhaifu wako ndio maana wanakuchulia poa? Kama ni mwanamke nenda siku hiyo vua nguo zako zote waambie kabisa hapa sinyanuki kwa lolote lile bila kuwa na fomu yangu hapa. Na kama ni mwamme onyesha ukali wako tena usiongee kinyonge duuh wish ingekuwa ni mimi hapa........................ huu upumbavu ulifanywa na wakoloni tuu tena kabla ya AD
 
aisee kuna watu wapole nchi hii, ningekuwa mimi huyo na dada MHIMBILI wangemkataa
 
SACCOS na Vikundi ni njia rahisi zaidi ya kusaidiana kwa watu wa kipato cha chini.
 
Tafuta mwanasheria mzuri afu wafungulie kesi watakupa tu hizo fomu
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakazia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…