BBA 2010: Big Brother Africa All Stars

Status
Not open for further replies.
Hapo ndo pakuweka msisitizo ..Unajua kubaki madume tupu kila saa malumbano tu ndani ya mjengo kidogo akirejea shemeji atamuweka mbali na malumbano ya UTI...
Ila Africa wataamua zaidi nani mwingine arudi ila sipendi Lera wala Paloma warejee kule
 
Hapo ndo pakuweka msisitizo ..Unajua kubaki madume tupu kila saa malumbano tu ndani ya mjengo kidogo akirejea shemeji atamuweka mbali na malumbano ya UTI...
Ila Africa wataamua zaidi nani mwingine arudi ila sipendi Lera wala Paloma warejee kule

Hawa wana issues kweli sio kwa wanaume hata wa wanawake wenzao na ndio maana wanashindwa ku cope vizuri na wenzao pamoja na kuwa Mwisho anaweza asishinde game lakini nampa pongezi kwa kufika finale na game kacheza vizuri hii itakuwa mara ya pili kwake kufika finale what a luck!!!
 

issue ni kuwin goto na si kufika fainali, mshindi ni mmoko tuu so afike fainali na shinde, kufika fainali afu unatoka patupu bado sio dili
 
Senator.bba finale lini? Vipi channel ten watajiunga live kama ilivyokuwa richard bba 2? Nakuaminia senator upo juu sana kwenye bba stars updates
 
Wewe kama si mpenzi wa bba chanel zipo nyingi move men.
 
Mwisho ana nafasi kubwa ya kushinda. Mara ya kwanza HAKUJUA alipaswa kufanya nini. Amejifunza. Sasa amekuwa mnjanja, atathibitisha kwa sababu gani Wabongo wanaitwa Wabongo!
 
Tatiana na Sheila wamerudishwa ndani ya jumba la BBA. Nadhani wote wanastahili.

Ngoma sasa imeanza kwa sababu Uti alikuwa anamuota Sheila. Sasa ngoja tuone nini kitaendelea. Na je watasema walipokuwa?
 
Miss sa naye ameludi vipi bif lao na tatiana litafufuka?
 
Let the game begin. Huu ndio mwisho wa mtz,tatiana kama kawaida atambeba munya hadi finale,ingawaje vilevile bwana mdogo munya anaweza kucheza pekeyake.
 
Sasa kilichobaki mwisho atapigwa madongo na ze former barnmates kuhusu engment scandle yake na melo.
 
Sasa kilichobaki mwisho atapigwa madongo na ze former barnmates kuhusu engment scandle yake na melo.


Hapa mchezo ndio utanoga. Kuna uwezekano wa kuwepo eviction walau moja. Ila kwa sasa Mwisho ni HoH. Na ikitokea naamini Lerato atakuwa muhanga.
 
Its week 12 of Big Brother All Stars and below is how the housemates have nominated this week:

1. Uti: Kaone & Munya

2. Tatiana: Kaone & Munya

3. Sheila: Kaone & Mwisho

4. Mwisho: Kaone & Munya

5. Munya: Uti & Mwisho

6. Kaone: Uti & Sheila

_________________________________

Highest Votes

Kaone: 4

Munya: 3

Others

Mwisho: 2

Uti: 2

Sheila: 1
 
Kwa Nomination hiyo Hapo Mwisho sidhani kama atamsave mtu..huenda akacha iwe hivyo hivyo..Kama Biggie ataridhia kutofanyika changes..
Naona tatiana hatimae kwa mara ya kwanza hajampigia kura mwisho kwenye nominations..
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…