Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Finaaly itakuwa kati ya MUNYA NA UTI
Hapo ndo pakuweka msisitizo ..Unajua kubaki madume tupu kila saa malumbano tu ndani ya mjengo kidogo akirejea shemeji atamuweka mbali na malumbano ya UTI...Naona hizi nomination zilikuwa ni Academic tu Biggie amewaambia kuwa hakuna mtu ambaye atakuwa evicted ila kinachofanyika sasa ni kuwapigia kura Barnmates wawili watakaorudi mjengoni majina ya hawa Barnmates wawili yatatangazwa Jumapili tarehe 3 October kwahiyo kama utaweza kumpigia kura shemeji yetu na kumrudisha mjengoni itakuwa poa.
Hapo ndo pakuweka msisitizo ..Unajua kubaki madume tupu kila saa malumbano tu ndani ya mjengo kidogo akirejea shemeji atamuweka mbali na malumbano ya UTI...
Ila Africa wataamua zaidi nani mwingine arudi ila sipendi Lera wala Paloma warejee kule
Hawa wana issues kweli sio kwa wanaume hata wa wanawake wenzao na ndio maana wanashindwa ku cope vizuri na wenzao pamoja na kuwa Mwisho anaweza asishinde game lakini nampa pongezi kwa kufika finale na game kacheza vizuri hii itakuwa mara ya pili kwake kufika finale what a luck!!!
So wiki hii hakuna waliokuwa nominated kutoka?
Sasa kilichobaki mwisho atapigwa madongo na ze former barnmates kuhusu engment scandle yake na melo.