This week nilitegemea watatoka wawili ili kwnye finale wabaki watano sasa sijui mipango ya Biggie jioni ya leo itatoa muongozo unavyokwenda..Hapa mchezo ndio utanoga. Kuna uwezekano wa kuwepo eviction walau moja. Ila kwa sasa Mwisho ni HoH. Na ikitokea naamini Lerato atakuwa muhanga.
Kwa Nomination hiyo Hapo Mwisho sidhani kama atamsave mtu..huenda akacha iwe hivyo hivyo..Kama Biggie ataridhia kutofanyika changes..
Naona tatiana hatimae kwa mara ya kwanza hajampigia kura mwisho kwenye nominations..
This week nilitegemea watatoka wawili ili kwnye finale wabaki watano sasa sijui mipango ya Biggie jioni ya leo itatoa muongozo unavyokwenda..
Grand Finale ni Oct 17
Kwa sheria ya BB5 ni lazima Mwisho kama HoH a-save mmoja na ku-repalce na mwingine asipofanya hivyo yeye mwenye anaingizwa kwenye kundi la kupigiwa kura. Hivyo basi the only option ni ku-muweka Uti na kumpumzisha Kaone. Ili Uti na Munya mmoja wao aondoke.
Hapa Mwisho atakuwa mjinga sana kubadilisha. Kwa mwendo huu angalau kigingi kimoja kitakuwa kimeondoka kwenye njia yake. Kwa sababu hata Kaone anaonekana ni strong. Kwa hiyo Munya itabidi achungulie shimo.
Nadhan lazima HoH afanye mabadiliko ndivyo rules zilivyo unless leo kuwe na mabadiliko yaani mwisho aruhusiwe kuacha kama yalivyo.Wenginevyo Biggie atataja majina ma4 kwa ajili yakutolewa j2
Kama kawaida Uti domo zege, mtoto Sheila anasubili neno fupi sana neno lenyewe ni.SHEILA NAKUPENDA.sijui kwanini anashindwa kutamka neno hili.
Nilikuwa sijasoma vizuri.JAFAR upo sahihi kabisa nilazima MWISHO afanye replment.Na mambo hili yawe mazuri, amtoe kaone amuweke Uti.
Bigy ameleta majina haya 1.Munya 2.Mwisho 3.Uti 4.Kaone. Mwisho amejiokoa badala yake amemuweka tatiana
Wasnt a breaking news i was expecting it to happenBREAKIN NEWS,Kaone,Tatiana,Munya na Uti,wawili kati ya hao lazima watoke j.pili.