BBA 2010: Big Brother Africa All Stars

BBA 2010: Big Brother Africa All Stars

Status
Not open for further replies.
Hapa mchezo ndio utanoga. Kuna uwezekano wa kuwepo eviction walau moja. Ila kwa sasa Mwisho ni HoH. Na ikitokea naamini Lerato atakuwa muhanga.
This week nilitegemea watatoka wawili ili kwnye finale wabaki watano sasa sijui mipango ya Biggie jioni ya leo itatoa muongozo unavyokwenda..
Grand Finale ni Oct 17
 
Kwa Nomination hiyo Hapo Mwisho sidhani kama atamsave mtu..huenda akacha iwe hivyo hivyo..Kama Biggie ataridhia kutofanyika changes..
Naona tatiana hatimae kwa mara ya kwanza hajampigia kura mwisho kwenye nominations..

Hapa Mwisho atakuwa mjinga sana kubadilisha. Kwa mwendo huu angalau kigingi kimoja kitakuwa kimeondoka kwenye njia yake. Kwa sababu hata Kaone anaonekana ni strong. Kwa hiyo Munya itabidi achungulie shimo.
 
This week nilitegemea watatoka wawili ili kwnye finale wabaki watano sasa sijui mipango ya Biggie jioni ya leo itatoa muongozo unavyokwenda..
Grand Finale ni Oct 17

Hata mimi nilidhani kwamba watatolewa 2. Hii nomination inamweka BB mahala magumu sana.
 
Kwa sheria ya BB5 ni lazima Mwisho kama HoH a-save mmoja na ku-repalce na mwingine asipofanya hivyo yeye mwenye anaingizwa kwenye kundi la kupigiwa kura. Hivyo basi the only option ni ku-muweka Uti na kumpumzisha Kaone. Ili Uti na Munya mmoja wao aondoke.
 
Siyo ukweli. Huko nyuma iliwahi kutokea mara kibao tu HoH habadilishi matokeo. Kwa hiyo ni hiari yake kumsave mtu au la.
 
Hapa Mwisho atakuwa mjinga sana kubadilisha. Kwa mwendo huu angalau kigingi kimoja kitakuwa kimeondoka kwenye njia yake. Kwa sababu hata Kaone anaonekana ni strong. Kwa hiyo Munya itabidi achungulie shimo.

Nadhan lazima HoH afanye mabadiliko ndivyo rules zilivyo unless leo kuwe na mabadiliko yaani mwisho aruhusiwe kuacha kama yalivyo.Wenginevyo Biggie atataja majina ma4 kwa ajili yakutolewa j2
 
Nadhan lazima HoH afanye mabadiliko ndivyo rules zilivyo unless leo kuwe na mabadiliko yaani mwisho aruhusiwe kuacha kama yalivyo.Wenginevyo Biggie atataja majina ma4 kwa ajili yakutolewa j2

Soma post yangu hapo juu. Labda kama rules za mwaka huu ni tofauti na huko nyuma. Ila anaweza kuacha yalivyo. Kama yakiletwa 4 basi mwisho nadhani atamtundika either Tati au Lerato ili ajiokoe.
 
Jafar yupo sawa mwaka huu rules zinataka head of house amsave mtu ndo mana nilisema unless jioni ya leo kuwe na mabadiliko kutoka kwa biggie
 
Ya senator,mwisho huenda akaacha nature to take place,watu alionominate wako posble 4 eviction ths wk.
 
Kama kawaida Uti domo zege, mtoto Sheila anasubili neno fupi sana neno lenyewe ni.SHEILA NAKUPENDA.sijui kwanini anashindwa kutamka neno hili.
 
MWISHO kama kweli anataka hizi pesa areplace Kaone with Uti,lakini mwisho mwenyewe anaonekana sio serous na game,wacha wanaozitaka hizo pesa wammalize.LET THE GAME BEGIN.
 
Nilikuwa sijasoma vizuri.JAFAR upo sahihi kabisa nilazima MWISHO afanye replment.Na mambo hili yawe mazuri, amtoe kaone amuweke Uti.
 
Nilikuwa sijasoma vizuri.JAFAR upo sahihi kabisa nilazima MWISHO afanye replment.Na mambo hili yawe mazuri, amtoe kaone amuweke Uti.

Kuna jamaa wawili ambao ni hatari sana kwa Mwisho nao ni Munya na Uti lazima wamtishe na nadhani ni muda mzuri wa kunyofoa mmoja!
 
BREAKIN NEWS Kaone,Uti,Tatiana na Munya wawili kati yao inabidi waondoke j.pili
 
BREAKIN NEWS,Kaone,Tatiana,Munya na Uti,wawili kati ya hao lazima watoke j.pili.
 
Bigy ameleta majina haya 1.Munya 2.Mwisho 3.Uti 4.Kaone. Mwisho amejiokoa badala yake amemuweka tatiana
 
Bigy ameleta majina haya 1.Munya 2.Mwisho 3.Uti 4.Kaone. Mwisho amejiokoa badala yake amemuweka tatiana

Hii ilikuwa lazima iwe hivyo mana tumezoea na tutaendelea kuzoea hivyo kuwa finale wanabaki watano na wameambiwa hivyo.. hope tha K1 and Tati wil b evicted mana Uti and Munya wapo juu kwa hii game na huenda one of them gonna be a winner
 
your-votes_art.jpg

We supported our in law but mambo hayakwenda vyema
Sheila was the most popular Housemate with eight countries voting to send her back to the House. Although Tatiana and Paloma had two country votes each, Tatiana received more individual votes, thereby breaking the deadlock.

Sheila:

The countries that voted to save Sheila were: Ethiopia, Kenya, Mozambique, Namibia, Nigeria, Zimbabwe, Uganda and the Rest of Africa.

Tatiana:

The countries that voted to save Tatiana were: Botswana and Ghana.

Paloma:

The countries that voted to save Paloma were: Angola and Zambia.

Code:

The country that voted to save Code was: Malawi.

Meryl:

The country that voted to save Meryl was: Tanzania.

Lerato:

The country that voted to save Lerato was: South Africa
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom