BBA 2010: Big Brother Africa All Stars

BBA 2010: Big Brother Africa All Stars

Status
Not open for further replies.
Unajua kwenye BBA watu wanajua sana kufake life mie napenda wale wanaoishi jinsi walivyo kama kijana wetu Mwisho.Unajua wote hao( Tati n Lesb Sheila) walisema Bora Hann atoke ili kunusurua nyumba..wakiwa pamoja na Lera wao..Ila naona wasauz wamecheza karata njema hapo kumtoa M UG..kwani kulikuwa na dalili za watu kumrejesha mjengo next weeks ili kurejea kwenye kinyanganyiro.So far sina chaguo la kurejesha mtu kwa Mjengo wa kaka mkubwa
 
Nadhani watu watamrudisha shemeji yetu (changupaka wa Angola) akajaribu tena nahati yake kwa Munya!
 
Nadhani watu watamrudisha shemeji yetu (changupaka wa Angola) akajaribu tena nahati yake kwa Munya!
Bora tumrudishe Mtani wetu Sheila huenda akampa Mbua shemeji Uti..mana tumeshaposhwa kule na Kelvin
 
Bora tumrudishe Mtani wetu Sheila huenda akampa Mbua shemeji Uti..mana tumeshaposhwa kule na Kelvin

Binafsi naamini Tati ni mburudishaji mzuri sana kulinganisha na huyo lesibo. Umemsikia leo alikuwa anamwambia nini Lerato? Yaani huyo dada wa Kikenya ukimwacha na watoto wako (wa kike au wa kiume) anaweza kuwabaka.

Hebu check hizo links nimeziweka sasa hivi jinsi vijana walivyochanganyikiwa na anatomy ya uvunguni!!
 
Dah kweli Lesb Sheila noma..huyu nadhan inaonekana wazi ni mzoefu katika fani ya usagaji unga!
LEo naona mpambano utakuwa mgumu kati ya Jen na Munya..
 
Dah kweli Lesb Sheila noma..huyu nadhan inaonekana wazi ni mzoefu katika fani ya usagaji unga!
LEo naona mpambano utakuwa mgumu kati ya Jen na Munya..

Hapo hakuna kitu. Jen ameshakuwa mbuzi wa kafara. Kitendo cha kumuweka na Munya ilikuwa ni death sentence. Sioni ni jinsi gani atapona.

Tusubiri jioni ifike.
 
Du, Jen amekosa kura hata nyumbani kwako? Hii ni hatari sana.

Last week you voted to save Munya or Jen. This graph shows that Jen had one popularity vote, while Munya had 14.

Munya was the most popular Housemate with 14 countries voting to save him, while Jen had one country voting to save her.

Therefore, because she received the fewest country votes, Jen has been evicted.
graph_munya_jen_art.jpg

Munya

The countries that voted to save Munya were: Angola, Botswana, Ethiopia, Ghana, Kenya, Mozambique, Malawi, Namibia, South Africa, Tanzania, Zambia, Zimbabwe, Uganda and the Rest of Africa.

Jen

The country that voted to save Jen was: Nigeria.
 
Heeee! Hii kiboko!
Lakini competition Kwa mwisho sasa inaluwa juu sana....sijaona cha ajabu Kwa munya zaidi ya kuwapigia magoti waafrica.
 
Nilijua tu kwamba Jen asingefua dafu mbele Munya. Naona Nigeria sasa watachanganyikiwa na pia mshiriki wao amekuwa Monster fulani ndani ya Jumba. Yakob alilalamika kwamba Uti ni bully, watu wakasema Yakob ni mtoto wa mama. Sasa Mwisho naona naye amesema BBA house siyo bully land. Competition ninaiona wazi iko kati ya Mwisho na Munya. Lakini Munya stands a better chance ya kushinda kwa kuwa SADC za kusini [Botswana, Malawi, Angola, Zimbabwe, South Africa, Mozambique, Zambia] zinaweza kumpa kura Munya. Pattern ya kura za Munya imekuwa na consistency fulani na nchi za SADC.

Kesho dynamics za game zitabadilika sana, nina mashaka makubwa kuwa Midnite Crew yote inaweza kuwa up for eviction. Pamoja na hayo Mwisho bado ana nafasi nzuri na kubwa ya kufika kwenye final 3, hasa baada ya Uti kuanza ku-bore especially kwenye hii wiki ambayo alikuwa ni HoH.
 
Nilishasema Munya ni mwiba manake kaingia mara nyingi kweye nomination. Akiingia tena Mwisho wiki hii basi ndo mwisho wake, labda aingie na mkewe Merl hapo ataweza kusimama!
Masikini Jen hata home Mos hazikutosha?
 
Du, Jen amekosa kura hata nyumbani kwao? Hii ni hatari sana.

Mkuu hili tatizo lilikuwepo tangu last season, yule kijana kutoka Maputo [Moza Boy] alikosa kura. Hata Yacob mwaka huu alikosa kura za nchini kwake kama sikosei. Nadhani kuna tatizo la mwamko au lugha. Inawezekana wanaofuatilia BBA kwenye hizo nchi ni foreigners na ndio wanaompiga kura. So kama hawampendi Jen, kura zao zinaenda kwa mshiriki mwingine na zinahesabika kwamba ni kura za Mozambique. Lugha rasmi ya Mozambique ni Kireno, so matatizo ya lugha yanaweza kuwa yanawafanya wasifuatilie show ya BBA na wakawa hawana interest.
 
Uti ni bully

Shida ya Wanaigeria ni hii kwamba are very dominating and explosive, hot tempered na they think always are the only one who are to be listened to and think that they are always right!
 
Nilishasema Munya ni mwiba manake kaingia mara nyingi kweye nomination. Akiingia tena Mwisho wiki hii basi ndo mwisho wake, labda aingie na mkewe Merl hapo ataweza kusimama!
Masikini Jen hata home Mos hazikutosha?

Mkuu nina uhakika wa 100%, Mwisho akisimama na Uti, Uti ataenda kwenye barn. The only person ambaye ninamuona ni threat kwa Mwisho ni Munya ambaye wiki hii atapumzika kwa kuwa ni HoH. Pia K1 na Meryl hawana ubavu wa kupambana na Mwisho. So, Mwisho bado yuko safe mpaka mwisho wa safari.
 
Shida ya Wanaigeria ni hii kwamba are very dominating and explosive, hot tempered na they think always are the only one who are to be listened to and think that they are always right!

Ninakubaliana na wewe Nigerians wengi wako hivyo na hata ukiangalia comments zao ndani ya site ya BBA au Oboma, utakuta kwamba huwa wako vocal na sometimes wanapenda ku-intimidate wengine na kujiona wao ni bora zaidi hata kama mshiriki wao amefanya vitu vya kijinga.

On the other hand, Kelvin hakuwa hivyo last season. Kajamaa kalikuwa humble na sikuwahi kuona kameingia kwenye mgogoro wowote kasoro pale alipotofautiana na dada yake Nkenna.
 
Mkuu nina uhakika wa 100%, Mwisho akisimama na Uti, Uti ataenda kwenye barn. The only person ambaye ninamuona ni threat kwa Mwisho ni Munya ambaye wiki hii atapumzika kwa kuwa ni HoH. Pia K1 na Meryl hawana ubavu wa kupambana na Mwisho. So, Mwisho bado yuko safe mpaka mwisho wa safari.

Mimi nadhani Mwisho na Meryl watabaki ili waendeleze burudani lao. Na kwa kuwa Munya ni HoH, kuna uwezekano mkubwa wa kulipiza kisasi kwa Uti. Endapo Uti atasimama na K1, Meryl au Mwisho, nadhani ataishia kwenye Barn. Sioni kitu cha maana anachofanya kiasi kustahili kubaki humo ndani.

Pia baada ya Hannington kupigwa chini, sioni mtu mwingine ambaye akirudi ndani atasumbua. Ila nafasi kubwa nampa shemeji yetu Tatiana na may be Lesibo (Sheila).

Finali nadhani ngoma itakuwa kati ya Mwisho na Munya.
 
Hivi ikitokea kesho Munya akajisave mwenyewe na kumuweka mwisho lets say na UTI itakuwaje?Ila napata wasiwasi sana na hawa alexender fobes yaani hela zangu za sms na message zangu za mtandaoni zikitaka Jen apate japo kura yetu(TZ) zimefail 10hrs a day for 5days na sms kama za 24000tsh kwa Jen zimekataa? sipigi tena kura bora ningechangia JF tu kuraise status na server ipate viburudisho zaidi.VIVA MAN UTd sorry i mean Lets keep MWISHO to the END!!wot so ever gonna happen kesho!
 
Keil Update juu watu wanaosoma mwanzo wa jue kuwa Jen mtoto mzuri kipenzi chake invisible ametoka leo!
 
Keil Update juu watu wanaosoma mwanzo wa jue kuwa Jen mtoto mzuri kipenzi chake invisible ametoka leo!

Lakini mkubwa nilikwambia. Umeona sasa maneno yangu ehhh!

Halafu wk hii ikitokea Uti akawekwa ubaoni na Mwisho ujue ndo mwisho wa kelele za Wanigeria. Hawa watu wanakera sana na kwa hiyo Uti aoembe sana asiwekwe kwenye kikaango. Kati ya wote waliobaki, tishio kwa Misho ni Munya tu.
 
Mtu wa karibu atoe updates za nominations please, nina hamu kweli kweli na hii final ya BBA.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom