senator
JF-Expert Member
- Aug 9, 2007
- 1,924
- 66
Unajua kwenye BBA watu wanajua sana kufake life mie napenda wale wanaoishi jinsi walivyo kama kijana wetu Mwisho.Unajua wote hao( Tati n Lesb Sheila) walisema Bora Hann atoke ili kunusurua nyumba..wakiwa pamoja na Lera wao..Ila naona wasauz wamecheza karata njema hapo kumtoa M UG..kwani kulikuwa na dalili za watu kumrejesha mjengo next weeks ili kurejea kwenye kinyanganyiro.So far sina chaguo la kurejesha mtu kwa Mjengo wa kaka mkubwa