BBC Dira ya Dunia: Zari athibitisha kuachana rasmi na Diamond

Victoire mahawara wakishaishi pamoja kwa miaka kadhaa na kujaliwa watoto inapendeza kuitana mume na mke.

Mie nina wasiwasi kama D ataweza kutulia na mrembo mmoja. Utamu wa papuchi kaujua sasa anaweza kuwa chovya chovya huku na kule na huyu ndom na yeye mbali mbali hivyo kama hatakuwa muangalifu akiamua kuwa chovya chovya basi anaweza kugusa mawayawaya.

Bibie naye anaweza kuchukua dogo dogo mwingine amlee mwenyewe na kumfundisha majamboz.

Kwani walioana lini ?
 
Mnenguaji huyo alijua akimzalia watoto wote hao mwisho wa siku atamtandika hela zote kumbe mtoto wa madale yuko makini sana aambulie nyumba tu na tuone kama atadai child support yeye si tajiri tusubiri
Aliyekuwa mke wa msanii maarufu nchini Diamond aitwaye Zari Hassan amesema yeye na mme wake Diamond wameachana rasmi na kwamba hivi sasa kila mmoja anaendesha maisha kivyake. Source BBC!
 
Ukristo raha sana hasa ,ndoa za kikatoliki..
 
Je kuna uwezekano wa hawa kurudiana? Inadaiwa Mama DP anaelewana sana na Zari je anaweza kutumia uwezo wake kama mzazi ili wazazi wa wajukuu zake waendelee kuwa pamoja kama wapenzi?

Yeah anayetoa mtoso ndie anayetamba saafi kabisa. Haters wameumia kuona zari ndie katosa na sio kutoswa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…